Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Mgeni? Like seriously?kwakuwa police ni mwenyeji na huyo mjeshi ni mgeni.
Wewe ndio nyau hujielewi.Akili yako ndogo sana. Yaani umejipinda kuandika mwenyewe ukaedit mara kumikumi ndo umekuja na huu ushubwada.
Mfani mdogo. Huwezi kumleta muhasibu ofsini kwako afanye kazi ya IT. Is either mwajiri mwajiri hujielewi au huyo muhasibu anayekubaki hiyo kazi ni mpuuzim
Wote ni mgambo tu, none of those 6 institutions use brainsTanzania tuna vyombo vya ulinzi na usalama takribani 6 na tuna idara saidizi za ulinzi na usalama kadhaa.
Kila chombo kiko huru kujisimamia ingawa vyombo hivi hutegemeana.
Wakati mwingine chombo kimoja kinaweza kufanya majukumu ya chombo kingine lakini kwa kushirikiana na chombo husika.
Yaani polisi hawezi kwenda kufanya kazi ya zmamamoto na uokoaji kwa kujiamulia tu.
Au afisa wa uhamihaji hawezi tu kujiamulia kufanya kazi za afisa wa JWTZ.
Ikitokea afisa au askari wa chombo kimoja anakwenda kufanya majukumu ya mpito kwenye chombo kingine kule atakuwa chini ya usimamizi wa afisa wa chombo husika.
Wanaharakati uchwara, wanaokula pesa za bure za wazungu wanapotosha umma kila siku kwakuwa wanajua Watanzania wana uelewa mdogo.
Hii picha inaonyesha afisa/askari wa jeshi la wananchi akipewa maelekezo na afisa/askari wa jeshi la polisi kwakuwa police ni mwenyeji na huyo mjeshi ni mgeni.
View attachment 3509317
peleka pumbu zako barabarani ndio utajua hizi ni pumba au chuya.Pumba tupu ulizoandika .
Amani gani unayoizungumzia?? Au kwasababu hakuna ndugu yako aliyepotea ?peleka pumbu zako barabarani ndio utajua hizi ni pumba au chuya.
Nyie vijana mostly ni sikio la kufa
Tanzania kwenye suala la amani hakuna mchezo. Afrika yote inajua
Tanzania tuna vyombo vya ulinzi na usalama takribani 6 na tuna idara saidizi za ulinzi na usalama kadhaa.