Natoa Haja Kubwa Nyingi kupita kiasi, inanitia hofu

Natoa Haja Kubwa Nyingi kupita kiasi, inanitia hofu

Ndio matatizo ya kunywa CHIBUKU halafu baadae unakula supu nguruwe
 
Hahaah, duuuh! Jamani msaidien. Mwenzen. Kwa unakunya mara ngapi kwa siku? Kama ni mara moja bas si mbaya.
 
Ndugu yangu pendelea kunywa maziwa kwa ushauri tu, huwa wanadai ni dalili za vidonda vya tumbo
 
I see utakuwa una nyota ya tembo.

hahahahahahahahahahahahahahaahahhaahahaahahahahaahahahahahahaahahaahahahahahahahahahaha mbavu zangu mie ahahahahahahahahahahahaha uhhhhhhhh daaaaaaah kulalek kuna watu mna laaana humu duniani sijapata ona hahahh
 
quality and amount of food taken can determine the amount of feaces(mavi) discharged as during absorption in the ileum only the required amount get absorbed and the rest of the food get discharged, also if u eat food with low quality(decayed) would result to poor digestion and absorption as a result unajaza sink la choo kwa kunya kama tembo, 4more check me kelvincomplex89@gmail.com
 
Contact Genes Worldbook of records hio ni fursa twenzetu....
 
Hodi chumba cha daktari JF!Shikamoo daktari.Nimekuja ninajiona nakunya mavi mengi kuliko kawaida.Je nina tatizo la afy?

Mwanzo ulikuwa unakunya mavi kiasi gani hadi leo unashangaa??na kunya huko ishatokea siku ukanya pamoja na chakula ulichokula mda huo huo,i mean..kama mfano umetoka kula wali njegere ukasikia haja,ukaenda chooni ilishatokea ukaona punje punje za mchele ktk kinyesi,kama hapana niseme sio ugonjwa nadhani ktk tumbo lako digest sytem iko vizuri.vinginevyo changanya na zako
 
uuuuhhhh.....
kwiiiiiikwiiiii...! ooh, kumbe jf mnaweza kuuwa mtu,,, mamaaa mbavu zangu! kweli Mungu kaumba!
 
Hahahahhahahahahahahahahahahahhahahahahahahhahahhaha,seke mie
 
Back
Top Bottom