Ivan Breaker
JF-Expert Member
- Jun 13, 2020
- 1,384
- 5,504
Hello Family JF Family members! It's been a while, kwa wale wanaonifahamu humu nimekuwa member toka 2023 nadhani, kipindi bado najitafuta mimi ni nani na hadi leo hii nipo katika hatua nzuri namshukuru Mungu.
Kwa sasa kulingana na maisha niliyoamua kuishi natambulika sana kama Videographer maana imekuwa sehemu ya maisha yangu ni kitu nachokifanya kila siku iitwapo leo, so leo nimekuja humu kutoa fursa au kujitangaza kuwa ninatoa huduma ya Videograph kwa wenye uhitaji, sana nafanya videos za Wedding, corporate videos, contents videos na hata short films yan kwa ufupi sasa ni Proffesional ( Cinematographer ) japo industry hii ina mengi ndani yake ambayo mtu huwezi kuyafahamu yote kwa wakati mmoja
Kama unabiashara yako ya aina yoyote na ulikuwa unahitaji kuifanyia promotion ya video, basi mniungishe kijana wenu hapa, nimerudi kutoa shukrani kwa kuwapatia hii huduma kwa gharama nafuu sana kwa sababu mmekuwa Familia yangu toka 2023 hadi leo hii. Asanteni
+255 760 567 890 ( Whatsapp )
Link ya kazi zangu kwenye ( instagram )
Instagram
www.instagram.com

Create an account or log in to Instagram - Share what you're into with the people who get you.
www.instagram.com