Dodoma messengers
JF-Expert Member
- Aug 28, 2019
- 565
- 902
- Thread starter
- #441
Karibu sana.Great, nitakuja PM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana.Great, nitakuja PM
Nitafutie kazi nzuri hapo dodoma mkuu especially serikaliniMimi ni mkazi wa Dodoma, nimekuwa nikiagizwa sana na baadhi ya wadau hasahasa wale wa mbali na Dodoma na hata waliopo Dodoma,kuwatatulia matatizo mbalimbali ambayo hayawalazimu wao kufika huku (Dodoma) au sehemu husika kama wapo hapahapa Dodoma.
Kwa kufanya hivyo, huwa wanaokoa gharama za usafiri na malazi na badala yake, huchangia kiasi cha fedha, nikishamaliza kuwashughulikia hayo matatizo na kuridhika na huduma niliyoombwa kuifanya.
Mfano wa huduma ambazo mara kadhaa huambiwa niwashughulikie ni kama kwenda kwenye Wizara mbalimbali kama wizara ya mambo ya ndani, wizara ya mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa,kupeleka barua za kuomba uanzishwaji wa viwanda vya vilipuzi, pia kwenda bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu kuomba statements za mikopo yao, kwa wale wanaokuwa na lengo la kumaliza madeni yao (loan liquidation), kufuatilia barua za wale walioachishwa kazi na wameomba kurudishwa kazini, kufuatilia kwa wale waliostaafu mafao yao kwa kupeleka viambatanisho husika kwenye mifuko waliokua wanachangia, kufuatilia hati za viwanja, kuwachukulia leseni za udaktari (practicing licenses) pale Medical Council of Tanganyika (MCT), kuwachukulia transcripts baadhi ya wadau wanaozihitaji pale NACTE VET n.k
Endapo wewe ni mmoja wa wale wanaohitaji huduma zenye kushabihiana na nilizotolea mfano hapo juu na hata kuuliza tu, karibu PM au hapahapa, kama utakuwa na la kuuliza.
Asanteni.
Mawasiliano: 0765920855
unaweza kunitaftia hati ya kiwanja?Karibu sana.
Ndiyo,inawezekana kukusaidia kuipata.unaweza kunitaftia hati ya kiwanja?
gharama shingap?Ndiyo,inawezekana kukusaidia kuipata.
Gharama huwa siyo maalum, inategemeana na hali ya mteja.Maranyingi huwa ni laki hadi hati inapokuja kutoka.gharama shingap?
dompo la mtaani vipi unaweza nifanyia mchakato brother?Mimi ni mkazi wa Dodoma, nimekuwa nikiagizwa sana na baadhi ya wadau hasahasa wale wa mbali na Dodoma na hata waliopo Dodoma,kuwatatulia matatizo mbalimbali ambayo hayawalazimu wao kufika huku (Dodoma) au sehemu husika kama wapo hapahapa Dodoma.
Kwa kufanya hivyo, huwa wanaokoa gharama za usafiri na malazi na badala yake, huchangia kiasi cha fedha, nikishamaliza kuwashughulikia hayo matatizo na kuridhika na huduma niliyoombwa kuifanya.
Mfano wa huduma ambazo mara kadhaa huambiwa niwashughulikie ni kama kwenda kwenye Wizara mbalimbali kama wizara ya mambo ya ndani, wizara ya mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa,kupeleka barua za kuomba uanzishwaji wa viwanda vya vilipuzi, pia kwenda bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu kuomba statements za mikopo yao, kwa wale wanaokuwa na lengo la kumaliza madeni yao (loan liquidation), kufuatilia barua za wale walioachishwa kazi na wameomba kurudishwa kazini, kufuatilia kwa wale waliostaafu mafao yao kwa kupeleka viambatanisho husika kwenye mifuko waliokua wanachangia, kufuatilia hati za viwanja, kuwachukulia leseni za udaktari (practicing licenses) pale Medical Council of Tanganyika (MCT), kuwachukulia transcripts baadhi ya wadau wanaozihitaji pale NACTE VET n.k
Endapo wewe ni mmoja wa wale wanaohitaji huduma zenye kushabihiana na nilizotolea mfano hapo juu na hata kuuliza tu, karibu PM au hapahapa, kama utakuwa na la kuuliza.
Asanteni.
Mawasiliano: 0765920855
Ndiyo inawezekana.dompo la mtaani vipi unaweza nifanyia mchakato brother?
Nashukuru sana mkuu,niliwasiliana nae na nimeshapeleka mzigo husika wizarani na nimempa mrejesho.Asante sana.Mkuu nilikuunganisha na mtu wa mbinga,nashukuru umemfanyia vizuri Kasi yake
Mjini mipangoMimi ni mkazi wa Dodoma, nimekuwa nikiagizwa sana na baadhi ya wadau hasahasa wale wa mbali na Dodoma na hata waliopo Dodoma,kuwatatulia matatizo mbalimbali ambayo hayawalazimu wao kufika huku (Dodoma) au sehemu husika kama wapo hapahapa Dodoma.
Kwa kufanya hivyo, huwa wanaokoa gharama za usafiri na malazi na badala yake, huchangia kiasi cha fedha, nikishamaliza kuwashughulikia hayo matatizo na kuridhika na huduma niliyoombwa kuifanya.
Mfano wa huduma ambazo mara kadhaa huambiwa niwashughulikie ni kama kwenda kwenye Wizara mbalimbali kama wizara ya mambo ya ndani, wizara ya mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa,kupeleka barua za kuomba uanzishwaji wa viwanda vya vilipuzi, pia kwenda bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu kuomba statements za mikopo yao, kwa wale wanaokuwa na lengo la kumaliza madeni yao (loan liquidation), kufuatilia barua za wale walioachishwa kazi na wameomba kurudishwa kazini, kufuatilia kwa wale waliostaafu mafao yao kwa kupeleka viambatanisho husika kwenye mifuko waliokua wanachangia, kufuatilia hati za viwanja, kuwachukulia leseni za udaktari (practicing licenses) pale Medical Council of Tanganyika (MCT), kuwachukulia transcripts baadhi ya wadau wanaozihitaji pale NACTE VET n.k
Endapo wewe ni mmoja wa wale wanaohitaji huduma zenye kushabihiana na nilizotolea mfano hapo juu na hata kuuliza tu, karibu PM au hapahapa, kama utakuwa na la kuuliza.
Asanteni.
Mawasiliano: 0765920855
Karibu sana.Mjini mipango
MKUU,HIVI NYUMBA YA PEKE YAKE DODOMA KWA LAKI 3 NAPATA?Fanya mawasiliano kama una shida kama hizo au zinazoendanda na zilizoorodheshwa hapa.
Unapata na ungesema unahitaji kwa sehemu gani hapa Dodoma ingekua vizuri zaidi.MKUU,HIVI NYUMBA YA PEKE YAKE DODOMA KWA LAKI 3 NAPATA?
VYUMBA,2 SEBULE NA JIKO.
MIPANGO, KIKUYU.Unapata na ungesema unahitaji kwa sehemu gani hapa Dodoma ingekua vizuri zaidi.
Sawa,ni vema tuwasiliane kwa namba 0765920855 iliyopo kwenye bandiko.Asante.MIPANGO, KIKUYU.
IWE PEKE YAKE PLEASE.
Nahitaji kuonana na Katibu wizara ya AfyaMimi ni mkazi wa Dodoma, nimekuwa nikiagizwa sana na baadhi ya wadau hasahasa wale wa mbali na Dodoma na hata waliopo Dodoma,kuwatatulia matatizo mbalimbali ambayo hayawalazimu wao kufika huku (Dodoma) au sehemu husika kama wapo hapahapa Dodoma.