Wakuu poleni na majukumu. Nimeamua kutoa offer ya tiketi NNE za fiesta itakayofanyika leaders club. Offer hii ni kwa men tu.
Sifa za atayepata tiketi ni hizi; asiwe na mpenz aje alone, asiye na kazi, anayeweza kunywa angalau bia NNE, mchangamfu, na mwisho awe anajua kula nyama.
Anaye jiona ana vigezo aje pm nimpe maelekezo.
Asanteni.