Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Anapewa ajira with immediate effectBaada ya fiesta ili umfanyaje?
[emoji2] [emoji2] mkuu una pointWakuu angalieni sana Tigo zenu.
... Kaka...hapa [HASHTAG]#monie[/HASHTAG] ana maanisha kwenye kugegeda papuchi ..a man awe mbabe na mtaalamu.......xo kwenye ligi monie agegedwe vizuriNyama gani iyo inataka experience
mmmh.....ole wake atakaejitokeza, ataliwa0713.....Wakuu poleni na majukumu. Nimeamua kutoa offer ya tiketi NNE za fiesta itakayofanyika leaders club. Offer hii ni kwa men tu.
Sifa za atayepata tiketi ni hizi; asiwe na mpenz aje alone, asiye na kazi, anayeweza kunywa angalau bia NNE, mchangamfu, na mwisho awe anajua kula nyama.
Anaye jiona ana vigezo aje pm nimpe maelekezo.
Asanteni.
tigo io...shauri lao watakaojipendekezaDaaah...! Hii inaweza kuwa Zaaaali! Au ni niniii!!![emoji86]
Unasema kweli?Wakuu poleni na majukumu. Nimeamua kutoa offer ya tiketi NNE za fiesta itakayofanyika leaders club. Offer hii ni kwa men tu.
Sifa za atayepata tiketi ni hizi; asiwe na mpenz aje alone, asiye na kazi, anayeweza kunywa angalau bia NNE, mchangamfu, na mwisho awe anajua kula nyama.
Anaye jiona ana vigezo aje pm nimpe maelekezo.
Asanteni.
Nipo nina vigezo kupitiliza naipataje?Wakuu poleni na majukumu. Nimeamua kutoa offer ya tiketi NNE za fiesta itakayofanyika leaders club. Offer hii ni kwa men tu.