Natoa offer kwa mwanaume aliyetayari kwenda kwenye fiesta Leo

Njoo na wenzako 3
 
Fiesta ndio wapi??? Iko nchi gani???
 
Sifa zote ninazo but tuonane baada hiyo fiesta coz kwa huo muda unaonihitaji nitakuwa kwenye show nyingine kali zaidi. I swear hutojutia subira yako...
 

Mm nina vigezo vyote mpaka kupga pamba za maana ukiw na mm tayar ni kiki...... Njoo PM
 
Monicca me nna sifa zote hizo sasa lakin kwavle ushaweka tangazo hapa siwez kuja pm maana unaweza kuona me ni wale wale tuu
Utakuwa unasumbuliwa na ugonjwa wa kutojiamini mkuu, huo ugonjwa mbaya sana utakufanya uishi kinyonge sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…