Natoa pongezi kwa wadada wote wa JamiiiForums mnaonifuata PM mkitaka tuchati nakutaka kujua Mimi ni wa namna gani

Wewe muongo unamsikitikia uku unamponda?! Ebu mchangie bwana harusi ila michango yote inakuja kwenye account ya bibi harusi mtarajiwa
Nikimchangia Nitampa yeye, nikikupa wewe nitakuwa nimepigwa hahahaa huwezi kunipiga kizembe hivyo 😂😂
 
[emoji12] bibi harusi ndio nishasema michango ipitie kwangu km hamtaki hakuna harusi
Sawa bi harusi mtarajiwa, hebu tuma sasa hivi namba ya kupokea mchango niweke mchango wangu kabla sijamtoa out nimpendaye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…