NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #181
Ntibazonkyza !!?Mwandiko kama wa antibiotics
Mimi nalia ngwena.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ntibazonkyza !!?Mwandiko kama wa antibiotics
Hapana mkuuNawe umesoma Cuba?
Nikimchangia Nitampa yeye, nikikupa wewe nitakuwa nimepigwa hahahaa huwezi kunipiga kizembe hivyo 😂😂Wewe muongo unamsikitikia uku unamponda?! Ebu mchangie bwana harusi ila michango yote inakuja kwenye account ya bibi harusi mtarajiwa
Kama anayo mbona alikimbia bill ya 10k?Shemeji pesa anayo imeisha hii we subiri mualiko wa harusi
Basi utakua uliwahi kulazwa mzena[emoji4]Hapana mkuu
Wanaolazwa mzena ni mafisadi ina maana na yeye ni fisadi?Basi utakua uliwahi kulazwa mzena[emoji4]
Shemeji ameshasema kibunda kipo cha kutosha [emoji23]Shunie kwani umepewa kibunda mbona unanikomalia hivyo [emoji1787]
Turudishe ili iweje tena hapa hakirudishwi kituMtarudisha michango ya watu
Kwanin mkuu?Basi utakua uliwahi kulazwa mzena[emoji4]
Nikimchangia Nitampa yeye, nikikupa wewe nitakuwa nimepigwa hahahaa huwezi kunipiga kizembe hivyo [emoji23][emoji23]
Sawa bi harusi mtarajiwa, hebu tuma sasa hivi namba ya kupokea mchango niweke mchango wangu kabla sijamtoa out nimpendaye.[emoji12] bibi harusi ndio nishasema michango ipitie kwangu km hamtaki hakuna harusi
Kama anayo mbona alikimbia bill ya 10k?
Msimpoteze cute wife bado kinda mjue [emoji1787]
Sawa bi harusi mtarajiwa, hebu tuma sasa hivi namba ya kupokea mchango niweke mchango wangu kabla sijamtoa out nimpendaye.
Ukiomba michango huna budi kumpokea huyo mbuzi uliyeuziwa 😂Wanataka kuniuzia mbuzi kwenye gunia mimi mwenyewe nilikuwa course kwa Fidel Castro [emoji41]
Shemeji ameshasema kibunda kipo cha kutosha [emoji23]
I'm waiting your phone number kwa shauku kubwa 😜[emoji39][emoji39][emoji763] hizo ndio habari tunazotaka kusikia maneno kidogo pesa mingi
Ukiomba michango huna budi kumpokea huyo mbuzi uliyeuziwa [emoji23]