Natoa pongezi kwa wadada wote wa JamiiiForums mnaonifuata PM mkitaka tuchati nakutaka kujua Mimi ni wa namna gani

Natoa pongezi kwa wadada wote wa JamiiiForums mnaonifuata PM mkitaka tuchati nakutaka kujua Mimi ni wa namna gani

Wewe muongo unamsikitikia uku unamponda?! Ebu mchangie bwana harusi ila michango yote inakuja kwenye account ya bibi harusi mtarajiwa
Nikimchangia Nitampa yeye, nikikupa wewe nitakuwa nimepigwa hahahaa huwezi kunipiga kizembe hivyo 😂😂
 
Back
Top Bottom