sunguramjinga
Senior Member
- May 11, 2023
- 175
- 227
Mm ni msabato sina makundi nijuze wwWaulize wanagrup wenzio wenye tabia ka zako watakufahamisha ni Nan huyo [emoji41]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm ni msabato sina makundi nijuze wwWaulize wanagrup wenzio wenye tabia ka zako watakufahamisha ni Nan huyo [emoji41]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
AlifanyajeAskari wa zenji, sijui kashatoka madema?
Asante sana mkuu usisahau na betting ndiyo vitu vinavyoniweka hapa mjini.Sawa Dalali wa vyumba na nyumba
Ulishanihudumia way back...kongoleAsante sana mkuu usisahau na betting ndiyo vitu vinavyoniweka hapa mjini.
Karibu nikuhudumie [emoji41]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkuu rusha mistari yako tu hakuna nomaNALIA
Nimekuelewa ,tuache kutongozana PM ausiyo
Watoto wazuri Kama wewe ukija PM ukaniita "my" huwa nafarijika sana Tena mno moyo wangu huwa unatakasika sana.Hebu fungua PM kwanza
Sasa mbona umefunga PM Mimi nataka nikuite mywangu ili ufarijikeWatoto wazuri Kama wewe ukija PM ukaniita "my" huwa nafarijika sana Tena mno moyo wangu huwa unatakasika sana.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hakika wanastahili pongezi mno Tena mno na moyo wangu unafarijika sana.[emoji23]mwamba kama mwamba
Najua tu wenye roho za kwa Nini lazima mje na negative vision kwa kua tu NALIA NGWENA napendwa huko PM [emoji41]Clepatina hapo kwenye jicho la kijasusi Kwa jamaa ulimaanisha anajipigia promo au inderect invitations?
Toa ya moyoni mkuuHakika wanastahili pongezi mno Tena mno na moyo wangu unafarijika sana.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ndiyo maana ake siwezi kuficha kitu moyoni mwangu Tena nazungumza haya kwa moyo mkunjufu bila hiyana yoyote.Toa ya moyoni mkuu
Unavyo reply my comments nafarijika mno haijawahi kutokea haya ninayoyazungumza hapa NI maneno kuntu yanayotokea kwenye uvungu wa moyo wangu bila ya kinyongo.Sasa mbona umefunga PM Mimi nataka nikuite mywangu ili ufarijike
Hana baya mtoto wa watu [emoji41]Cute Wife tunasubiri tamko lako