Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipi ccy na wewe ulienda nini😉😅😂Mhhh
😂 Nashangaa huo ujasiri ninaupata wapi.vipi ccy na wewe ulienda nini😉😅😂
Kwanza tafuta simu, mwanaume mpambanaji uwezi tumia infinix a.k.a takataka
Hakuna mamluki humo!?Nasimama hapa natoa pongezi za dhati kabisa kutoka kwenye uvungu wangu wa moyo yaani moyo mkunjufu hakika nina farijika sana na ninasikia utamu kwenye moyo wangu na mbarikiwe/muwe na moyo huo huo naimani ipo siku mtanibariki mpaka tunda.
si ndo huruma kama alivyosema😊😎😂 Nashangaa huo ujasiri ninaupata wapi.
Mimi nimetoa pongezi kwani Kuna mtu katajwa hapo kwenye hiyo post [emoji41]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huruma hiyo vipi😂si ndo huruma kama alivyosema😊😎
Huwa sibadili simu mpaka niibiwe au iharibike kabisa Sina hayo Mambo ya kwenda na fasheni.Kwanza tafuta simu, mwanaume mpambanaji uwezi tumia infinix a.k.a takataka
Huwa nanunua simu nyingine endapo ninayotumia ikipotea au kuharibika.Kwanza tafuta simu, mwanaume mpambanaji uwezi tumia infinix a.k.a takataka
Soma vizuri post nimeandika nimetolea mfano kwa hiyo Sasa anaweza akawa siyo yeyehuyo uliemtaja siyo mtu kumbe mkuu?
Tafuta hela infinix ni takataka pia kapange vyumba hadi elf 30 vpo acha kulala sebuleni kwa shemej yako ndo utaacha utotoHuwa sibadili simu mpaka niibiwe au iharibike kabisa Sina hayo Mambo ya kwenda na fasheni.
Na wasi wasi na wewe mlamba lips unayebadili fasheni Kila wiki Kama wadada.[emoji41]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Peleka huko jf doctors watakupa ushauri [emoji41]
Shukurani sana mkuu kwa ushauri wako Ila next time nakushauri acha shobo dundo na Mimi huwa sipigi wakina afande Rama Kama nyinyi.Tafuta hela infinix ni takataka pia kapange vyumba hadi elf 30 vpo acha kulala sebuleni kwa shemej yako ndo utaacha utoto
Afande rama ndo nani?Shukurani sana mkuu kwa ushauri wako Ila next time nakushauri acha shobo dundo na Mimi huwa sipigi wakina afande Rama Kama nyinyi.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Waulize wanagrup wenzio wenye tabia ka zako watakufahamisha ni Nan huyo [emoji41]Afande rama ndo nani?
Askari wa zenji, sijui kashatoka madema?Afande rama ndo nani?