Natoa pongezi kwa wadada wote wa JamiiiForums mnaonifuata PM mkitaka tuchati nakutaka kujua Mimi ni wa namna gani

Natoa pongezi kwa wadada wote wa JamiiiForums mnaonifuata PM mkitaka tuchati nakutaka kujua Mimi ni wa namna gani

Nasimama hapa natoa pongezi za dhati kabisa kutoka kwenye uvungu wangu wa moyo yaani moyo mkunjufu hakika nina farijika sana na ninasikia utamu kwenye moyo wangu na mbarikiwe/muwe na moyo huo huo naimani ipo siku mtanibariki mpaka tunda.
Hakuna mamluki humo!?
 
1684418145413.png
 
Kwanza tafuta simu, mwanaume mpambanaji uwezi tumia infinix a.k.a takataka
Huwa sibadili simu mpaka niibiwe au iharibike kabisa Sina hayo Mambo ya kwenda na fasheni.
Na wasi wasi na wewe mlamba lips unayebadili fasheni Kila wiki Kama wadada.[emoji41]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tafuta hela infinix ni takataka pia kapange vyumba hadi elf 30 vpo acha kulala sebuleni kwa shemej yako ndo utaacha utoto
 
Back
Top Bottom