Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] Kwa nini umewahi hiyo kamati lakiniMi mweka hazina jamani nimeshawahi!
Wanakamati zingatieni cheo changu jamaniHarusi tunayooo .dalali oyeee
Nyama ziwe nyingi kuliko maua jamaniKamati ya chakula mie 😀
Tunapunguza maua tunapunguza maids tunaweka nyama 😀😀😀 hata wali unaweza usiwepoNyama ziwe nyingi kuliko maua jamani
Jamani Nyie jueni tu mie nimewahi uweka hazina,Nina cv nzuri kwenye vicoba vya mtaani,na ni kijumbe mzuri Sana Mimi Jamani🤔🤔
Hapa Sasa sijui Amehlo atakuwa Nani kwenye kamati
[emoji23]Aririririririr mwana kamati nimefika tayari
Bwana kapata bibiiii na bibi kapata bwanaah aririiiiiii [emoji23]Kamati ya chakula mie [emoji3]
Ila ndugu yangu mbona unanitisha sasa na hiki cheo chako unavyosisitiza sanaWanakamati zingatieni cheo changu jamani
We ni katibu wa kamati ujue[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Umepita bila kupingwa[emoji23] me mwenyekiti wa kamati