Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Natoa pongezi nyingi kwa timu yetu ya Taifa kwa kazi kubwa waliyofanya. Natoa pongezi kwa wale wote waliofika Ivory Cost kuwapa joto. Natoa pongezi kwa kila mmoja wetu ambaye ni mzalendo anayekubali kwamba kuna kufunga na kufungwa lakini pia kuna droo
Vijana wetu na watoto wetu wameupiga mwingi tuwape maua yao. Kama hutaki kuipongeza timu ya Mama Samia kwa kazi nzuri una lako jambo.
Mama Samia vijana wapewe nyumba moja moja hawa iwe motisha kwa wadogo zao.......kwani ukiwapa nyumba ya milioni mia hamsini kwa wachezaji ishirini nchi itafilisika? Kunjua nafsi hata ikiwezekana chukua kodi ya betting ya mwezi mmoja au miwili wape vijana funguo