Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
- #21
Sio kila mtu ana nyota ya utajiri, wengine hawana nyota ya utajiri
MUHESHIMIWA raisi wetu ajaye sikupingiHuduma ni bure kabisa karibuni
👇👇👇👇👇
Natoa ushauri wa biashara na namna ya kukabiliana na changamoto kwenye biashara
Kwa anayetaka huduma text whatsApp kwenye hii namba
- Namna ya kupata utajiri kwenye biashara
- Namna ya kupata wateja
- Namna ya kulinda biashara kikawaida na kiroho
- Namna ya kupata wazo jipya la biashara
- Kupata madini na kulinda mgodi katika ulimwengu wa roho
- Kujua kama nyota yako ni ya biashara, kiongozi au kuajiriwa
0748520181
NOTE: hakuna tajiri atakayekupa siri na mbinu za mafanikio na waganga wa kienyeji ni maskini wa kutupa na wanawapa watu utajiri chaguo ni lako
Sipigi ramli ni huduma ya kirohoMUHESHIMIWA raisi wetu ajaye sikupingi
Ila now umeanza kufanya RAMLI??
Lissu akimaliza kesi sisi wengine tunanfanya paper za diploma ya sheria vizuri kabisa..Amejichanganya sana
Kwa uzoefu wangu kutoka katika kesi ya Lissu dhidi ya Jamuhuri amefanya omission na contradiction katika mada yake
Nimekumbuka hili jina la Rais mtarajiwa anataka kugawa utajiri bure bure..MUHESHIMIWA raisi wetu ajaye sikupingi
Ila now umeanza kufanya RAMLI??
Huduma ni bure kabisa karibuni
👇👇👇👇👇
Natoa ushauri wa biashara na namna ya kukabiliana na changamoto kwenye biashara
Kwa anayetaka huduma text whatsApp kwenye hii namba
- Namna ya kupata utajiri kwenye biashara
- Namna ya kupata wateja
- Namna ya kulinda biashara kikawaida na kiroho
- Namna ya kupata wazo jipya la biashara
- Kupata madini na kulinda mgodi katika ulimwengu wa roho
- Kujua kama nyota yako ni ya biashara, kiongozi au kuajiriwa
0748520181
NOTE: hakuna tajiri atakayekupa siri na mbinu za mafanikio na waganga wa kienyeji ni maskini wa kutupa na wanawapa watu utajiri chaguo ni lako
Sio kila mtu atakua tajiri na mwisho wa siku matajiri huwaga ni wachache sanaNimekumbuka hili jina la Rais mtarajiwa anataka kugawa utajiri bure bure..
Natumia elimu yangu ya darasani ya uchumi na bibliaJe tunao sali?
Njoo nikufundishe ufanye biashara za nje na ndani ya Nchi mambo ya Utajiri utajua mwenyewe.Sio kila mtu atakua tajiri na mwisho wa siku matajiri huwaga ni wachache sana
tumia wewe uli uwe tajiri acha porojo na utapeli dogoNatumia elimu yangu ya darasani ya uchumi na biblia
Kama unalakufundisha fundisha hapa hapa kwenye uzi unakaribishwaNjoo nikufundishe ufanye biashara za nje na ndani ya Nchi mambo ya Utajiri utajua mwenyewe.
Ok sawa ndugu Mchungaji ila hapa tumia kupiga maombi kwanza..Kama unalakufundisha fundisha hapa hapa kwenye uzi unakaribishwa
Sasa mambo ya nyota yanatoka wapi tena mkuu!Natumia elimu yangu ya darasani ya uchumi na biblia
Yesu alipozaliwa nyota yake ilingara umeshawahi jiuliza kwanini biblia imeongea jambo kama hiliSasa mambo ya nyota yanatoka wapi tena mkuu!
Wewe unatumia mbinu gani kujua nyota mkuu!Yesu alipozaliwa nyota yake ilingara umeshawahi jiuliza kwanini biblia imeongea jambo kama hili
BibliaWewe unatumia mbinu gani kujua nyota mkuu!
Duh! sawa...Biblia
KaribuDuh! sawa...