Natoa ushauri wa biashara na namna ya kukuza biashara

Mkuu hakuna kitu kinaitwa Nyota Mkuu.

Mafanikio yanahitaji kuwa aggressive , discipline , consistency na kuwa uwekezaji wa kutosha .
 
Mkuu hakuna kitu kinaitwa Nyota Mkuu.

Mafanikio yanahitaji kuwa aggressive , discipline , consistency na kuwa uwekezaji wa kutosha .
Nyota zipo na zinashape hatima ya watu wengi kwa bahati mbaya elimu hii imekua hijacked na wahuni

Kuna watu wapo aggresive, discpline na hawana mafanikio
Mafanikio mda mwingine ni bahati ya kukutana na watu sahii inshort mafanikio yanategemea factor nyingi sana
 
Kama Ni bure mwaga nondo zako hapa tuzione. Siyo mpaka tukufuate huko mafichoni.
Elimu mtu aliyonayo ni siri na ametumia miaka mingi kujifunza kwa hiyo sio rahisi kushare kama unavyodhani

Huduma upewe bure na elimu upewe bure maisha sio marahisi hivyo
 
Hii ndio biashara yako,, utachelewa sana
 
Katika amri zang 10 za maisha amrii ya kwanza HAKUNA KITU CHA BURE DUNIANI lazima ulipie directly au indirectly
Unanifanya nifikilie nje ya box
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…