Natoa wito IGP Wambura ajiuzulu mara moja

Komenti ya kuunga mokono hoja nimekutumia PM, maana mwanasheria wangu ndio kwanza yupo kidato cha kwanza
 
Tena anatakiwa kufanya hivyo usiku huu akiambatana na DCI na waziri wa mambo ya ndani kwa kudhihirishwa ukiukwaji wa sheria bayana
 
Kasome kifungu kidogo cha tano cha kifungu 148 cha sheria hiyo wewe paralegal !

Ila ngoja nikusaidie ni kuwa kama mtu katenda uhaini, mauaji, armed robbery nk hatopewa dhamana

Hivyo usitudanganye, siku nyingine usitetee upumbavu
 
Acha nimtag
 
Huyu hawezi kujiudhuru hata siku moja mkuu. Yupo hapo alipo kwa fadhila za CCM bado hajakamilisha agenda yake ya kuisaidia CCM kubakia madarakani milele.

Hata kama akipwaya kwenye utendaji wake kama IGP, ilmradi anaisaidia CCM, hakuna mtu atakayemtikisa kutoka kwenye nafasi yake labda wazalendo wenye uchungu na rasimali za nchi hii tuwakodi wachawi wamroge ajifie zake.
 
Carmillius Wambura ni janga la Taifa!
 
Aiseeee !
 
Wa kulaumiwa ni huyo aliyemteua kuwa IGP na Kingai kuwa DCI. Hawa wawili waliotumika na awamu ya tano kupika kesi za mchongo kwa wapinzani kupewa dhamana ya kuliongoza jeshi la police ni dhihaka kubwa kwa dhana ya utawala bora.
 
Umeniangusha mno Poti / Mwetu Mzanaki Mwenzangu IGP Wambura kwa kukubali Order ya #2 ( kwa kutaka Kwake Sifa kwa #1 ) kumshughulikia haraka Dk. Slaa huku Ukijichanganya Kimaelezo kuwa mara ni Mhaini na baadae ni Mchochezi hali iliyopelekea Watu kuanza kuhoji Umahiri wako.

IGP Wambura ulichotakiwa kufanya ni kumwambia huyo #2 Mshamba, Mnafkki na Mpenda Sifa kwa #1 kuwa akupe muda ili Ulichunguze na Ujiridhishe lakini Ukamuogopa na Kuhofia Cheo chako na Kukurupuka huku ukiwa Fixed na ukafanya Kosa ambalo tayari limeshaanza kuitia nchi Doa huku Wawekezaji nao sasa wakianza Kuogopa kuja.

Siombei litokee ila GENTAMYCINE kila nikimulika na kuangaza huku na kule napatwa na wasiwasi mkubwa kama Utavumiliwa na hicho Cheo cha IGP hivyo nikuombe tu kama Wewe ni Mtu wa Maombi basi Sali sana bila Kuchoka na kama nawe unapenda Kuroga kama Vilabu vya Simba na Yanga nakushauri Roga / Karoge mno ili muda wowote Dada Zuhura Yunus asije na Press Release yake juu ya Kubadilishwa Kwako kama IGP na akateuliwa Mwingine.
 
halafu ateuliwe nani asiyefuata amri za mamlaka ya juu kwa utashi wake? Tukiwaambia kazi zingine duniani ni kutumwa na kuagizwa tu hata kama hupemdi muwe mnatuelewa. Anyway, huyo poti alijichanganya, aondoke tu
 
halafu ateuliwe nani asiyefuata amri za mamlaka ya juu kwa utashi wake? Tukiwaambia kazi zingine duniani ni kutumwa na kuagizwa tu hata kama hupemdi muwe mnatuelewa. Anyway, huyo poti alijichanganya, aondoke tu
Kingai🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…