Natoaje pesa kwenye benki zilizofungiwa?

Natoaje pesa kwenye benki zilizofungiwa?

Umeandika vague sana, give more details about hizo pesa zilifungiwaje? Kilitokea nini? Hapo waweza kusaidiwa.
 
Nadhani BOT huwa na utaratibu Wa kuwatangazia wateja wa Benki husika pindi wakishajiridhisha, kuwa wafungue Akaunti benki zingine kisha wanawawekea pesa zao. Ila inaweza kupita hata miaka kadhaa mpaka kuzipata.
 
So nisubiri tangu2017
Kuwa mpole tu mkuu. Na sumtym mnaweza mkapigwa kabisa kama walikua washachezea amana zao zilizopo benki kuu wakakuta wanaodai ni wengi kuliko hela iliyopo baada ya kuifilisi(Mali & Madeni havioani)
 
Utaambulia 1.5m hata kama ulikuwa na 100m
 
Back
Top Bottom