Huna akili suti na four angle? Nani akuibie? Ka unaogopa wezi baki shamba agiza Kwenye bus uletewe
Natokea Imala magigo
Madame B naomba unirushie vocha tu ya package ya wiki.
Mnukia samli anaingia jijini
Kumbe tunatoka kijiji kimoja! Sijui hao bata utakulaje kama huna magigo
Kumbe tunatoka kijiji kimoja! Sijui hao bata utakulaje kama huna magigo