Natoka bara kwenda Dar. Je, sitaibiwa pesa?

^^
Lady doctor
Hebu nisaidie,,watu humu wanaongea kiebrania hata sielewi kinachoendelea...hebu ntafsirie maneno ya Baba V na Queen kan
^^

umeingia cha kike best yaani Queen Kan anavyo kunanga na kukunyambua kwa mwanamme mwenzio daaah hadi huruma

hivi umemkosea nini Queen Kan kwani yeye ni Mungu mpaka akukosoe eti wewe mfupi mguu wako wa3 hauna nguvu.......... Hadi nalia ujue imeniuma sana Himidini na mengine mengi tu wameongea na huyo Baba V nitakutafsiria kwa PM
 
Last edited by a moderator:

Ayaaa!!! Ya yani yani ngoja ngoja,,watanieleza kwa nini jiwe halina mzizi lakini linakua.
Asante Lady doctor

karibu sana!
Huyu Queen Kan alikuwaga mke mwenzangu akanifundisha kilugha chao kwahiyo hakinipi shida anytime ukihisi kutetwa kwa luga we nione
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom