Queen Kan
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,302
- 9,102
nimeshaona aisee
kwahiyo akwisa kighane kyangu leno?
nimeshaona aisee
naomba nikuandalie zana coz ninazo nyingi sana, kama bisbis, sururu, sime, spana koleo na hata zana za kulimia pia ninazo we niambie tu nikuletee ipi kati ya hizo?
leno pafinye embombo singolen'ye loli kelabho po apikujha kanunu
nimi nikimpata tampendaje!!
Maana jana nimetupia vacancy ya kutafuta mchumba kulee kwa wanaopendana.
Sijampata mke bado.
Labda nikija kwenye mataa wataniona, maana nimeambiwa ntaogeshwa hadi ning'e.
JF imevamiwa siku hizi hawa watoto wa Muligo wanaiharibu JF kabisa.
Kuogeshwa hadu ung'ae inategemea no wallet yako we ushiboy
.....Nauliza tu Ruhazwe JR. yuko wapi?
COPY: charminglady Mamndenyi Bishanga watu8 Arabela Madame B figganigga Filipo
.....Nauliza tu Ruhazwe JR. yuko wapi?
COPY: charminglady Mamndenyi Bishanga watu8 Arabela Madame B figganigga Filipo
dont dare!!
You'll hear from me very soon!