Natoka bara kwenda Dar. Je, sitaibiwa pesa?

Natoka bara kwenda Dar. Je, sitaibiwa pesa?

nipo tu queen, niendewapi nikateseke!?
Nimeamua kulianzisha rigwaride wangu,
maana nahisi bored na rotation.

jamanii, karibu mwaya.....yani nimelala tangu jana asubuhi ndo naamka saizi huwezi amini! Ndo mana nmechelewa kuja kukupokea
 
Tukutafuta kama nita bahatisha kuvuka barabara za lami, maana nimetahadharishwa kwamba Dar magari yana shonana kasiafu.
Siwezi kuwasalimia wale wanunua dhahabu waoooga, hawaji lipui kwa pamba, hawakichanganyi people's, wadutya zaidi ya kutafuna mishkaki ya 300 pale gaza, then saa 19hr00 haooo... ndani.
Sijui wana mihela ya ndagu!!??

ukifika tu ubungo niite nikuvushe.

Naskia sikuhizi madini yamekuwa adimu atiii,
nimepamis sana wadutya na ushirombo kwa ujumla
 
jamanii, karibu mwaya.....yani nimelala tangu jana asubuhi ndo naamka saizi huwezi amini! Ndo mana nmechelewa kuja kukupokea

Usijali Queen, kwa usingizi mkubwa namnahiyo najua King alikuwepo.
 
Tufanye kesho tuonana kwa 'lembuka' Kiwira Mwankenja, ntabeba zana kabisa au sio

naomba nikuandalie zana coz ninazo nyingi sana, kama bisbis, sururu, sime, spana koleo na hata zana za kulimia pia ninazo we niambie tu nikuletee ipi kati ya hizo?
 
naomba nikuandalie zana coz ninazo nyingi sana, kama bisbis, sururu, sime, spana koleo na hata zana za kulimia pia ninazo we niambie tu nikuletee ipi kati ya hizo?

shosti zana zote hizo wataka nife mwenzio! Lol!!
 
ukifika tu ubungo niite nikuvushe.

Naskia sikuhizi madini yamekuwa adimu atiii,
nimepamis sana wadutya na ushirombo kwa ujumla

Hakuna jipya kule hata minisha kimbia.
Ila madini bado yapo na kuna muwekezaji amekuja anaitwa Sagali, niliambiwa ni jamaa wa Bariadi Shinyanga.
Za uvunguni zinasema ni Jontventere na huyu nanii ......, huyu tajiri mtoto anaitwa ......, ah.. nani huyu mwenye Azania Bank? Huyu mtototo wa mkulu.
Pia wanajinga Fuel Station na Azania Bank pale Ushirombo oposit na Kituo cha Police.
 
Back
Top Bottom