Kevzy
JF-Expert Member
- May 23, 2026
- 976
- 1,712
Maisha ni maudhi tu
Hapo natokea huko chimbo kabsa nimepiga mkono ki gari , wamenambia nauli elf 5 mpaka hapo town yanayopatikana magari ya kuja Dar, poa nikakwea nikalipa paap nikafika hapo yanapopatikana magari
Picha linaanza magari yanatokea kigoma na noma zaidi yanakuwa yamejaa , kumbuka sina nauli ya kutosha ila nimeshapagawa nataka tu nifike zangu tu Dar nilichoka maisha ya chaka huko tabora urambo
Nikawa nipo restaurant moja hivi magari yanapaki makonda wananunua chakula safari inaendelea, nikawa natongoza makonda Kwa nauli yangu pungufu wanisaidie nisafiri mpaka Dar , kila nikimdaka konda kumuomba nikimwambia nauli niliyonayo ananambia gari imejaa, baada ya kuangaika sana Kuna konda akanambia nitakusaidia ila nakupa tshert ya ukonda na unakuwa unanisaidia majukumu ya kwenye gari mpaka tunafika dar , nikamuuliza majukumu gani? Akanambia kupandisha na kushusha mizigo .. nikamwambia kama hivyo tu poa , akanambia nimpe pesa kabsa nikampa
Daah, akanipa tshert , nilikuwa nna kibegi tu kidogo Cha nguo zangu nikakipandisha kwenye gari then nikashtuka, tukanunua chakula palee restaurant na kupanda nacho kwenye gari
Akaanza kunipa jukumu la kugawa chakula kwa abilia duuh nomaa, kama kawaida nikaanza kutoa huduma, warembo wazurii , nomaa aisee ila nikasema sio kesi , kazi ya kwanza ikaenda vyema , hapo gari ni full nakaa palee Kwa dereva , konda na dereva naona wananisema Kwa kunitania, oya unakiona chuma hicho kinaenda kutafuta maisha dar ah ah ah ah ah , wangejua kama Mimi dar ndio mtaani kwangu ah ah ah ah
Basi shughuli ilikuwa hiyo, abiria wakishuka kuwasaidia kushusha mizigo, walipandaa kuwasaidia kupandisha mizigo mpaka tunafika
Yule konda M/Mungu ambariki sana aisee , kama anaiona hii post anichek tupige story, kama sio yeye ningeuzaga simu yangu palee Ili nipate pesa ya usafiri nifike zangu home Dar ila alinipa msaada mkubwa sana kipindi icho, big up makondacta wa mkoa , msafiri salama nyakati zote