Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,635
- 4,160
[emoji121]
Wakuu,
Kwa mara ya kwanza kabisa natarajia kuingia jijini daasalama mwaka huu.
Nimekata tiketi ya basi matataaa la "Maning nice classic coach" ambalo lina flat tv ndani.
Na siti yangu ni ya karibu kabisa na dereva,
Ambapo safari inatarajiwa kuwa keshokutwa asubuhi.
Hivyo kama kuna rafiki ambaye ni mzoefu wa jiji atakuwa na nafasi
Tutatafuta usafiri wa kukodi ili tupige misele ya kunionesha maeneo maarufu jijini kama vile
-daraja la kigamboni,
-kwenye sanamu ya askari,
-uwanja wa taifa uliong'olewa viti na mashabiki wenye mzuka,
-chuo kikuu na
-kariakoo ambako nitaenda kufunga mzigo wa biashara wa kurudi nao mkoani baada ya siku 4 za kulijua jiji na kupunguza ushamba.
Hivyo rafiki mwenye nafasi.
(hasa "Ke" ambao kimsingi ni wakarimu na wema) ni_pm ili tuone namna ya kupanga utaratibu tafadhali!
Nawahakikishia
Sitowaangusha wakuu.
Angalizo:
Mimi ni kijana wenu mwema kabisa.
[emoji121][emoji121][emoji121][emoji121]