Natokea Bush Naingia Mjini.

Natokea Bush Naingia Mjini.

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
3,635
Reaction score
4,160
[emoji121]
Wakuu,
Kwa mara ya kwanza kabisa natarajia kuingia jijini daasalama mwaka huu.
Nimekata tiketi ya basi matataaa la "Maning nice classic coach" ambalo lina flat tv ndani.

Na siti yangu ni ya karibu kabisa na dereva,
Ambapo safari inatarajiwa kuwa keshokutwa asubuhi.
Hivyo kama kuna rafiki ambaye ni mzoefu wa jiji atakuwa na nafasi
Tutatafuta usafiri wa kukodi ili tupige misele ya kunionesha maeneo maarufu jijini kama vile
-daraja la kigamboni,
-kwenye sanamu ya askari,
-uwanja wa taifa uliong'olewa viti na mashabiki wenye mzuka,
-chuo kikuu na
-kariakoo ambako nitaenda kufunga mzigo wa biashara wa kurudi nao mkoani baada ya siku 4 za kulijua jiji na kupunguza ushamba.
Hivyo rafiki mwenye nafasi.

(hasa "Ke" ambao kimsingi ni wakarimu na wema) ni_pm ili tuone namna ya kupanga utaratibu tafadhali!
Nawahakikishia
Sitowaangusha wakuu.

Angalizo:
Mimi ni kijana wenu mwema kabisa.
[emoji121][emoji121][emoji121][emoji121]
 
kweli umetoka bush...."kwa Mara ya Mwanza"...wapo tu watu wazuri humu
 
karibu mjini mkuu,ila kuwa makini usije kutana na watu wa kuitwa 'bwaga bwaga' ukarudi huko Lushoto,Ifakara au Mtwara na suruali yako.
 
there are two things might have the same meaning when you reach there. "either you lose or they win"
 
Kila la kheri Mkuu,kuwa makin na magari kipind cha kuvuka barabara[emoji2] [emoji1]
 
[emoji121]
Wakuu,
Kwa mara ya kwanza kabisa natarajia kuingia jijini daasalama mwaka huu.
Nimekata tiketi ya basi matataaa la "Maning nice classic coach" ambalo lina flat tv ndani.

Na siti yangu ni ya karibu kabisa na dereva,
Ambapo safari inatarajiwa kuwa keshokutwa asubuhi.
Hivyo kama kuna rafiki ambaye ni mzoefu wa jiji atakuwa na nafasi
Tutatafuta usafiri wa kukodi ili tupige misele ya kunionesha maeneo maarufu jijini kama vile
-daraja la kigamboni,
-kwenye sanamu ya askari,
-uwanja wa taifa uliong'olewa viti na mashabiki wenye mzuka,
-chuo kikuu na
-kariakoo ambako nitaenda kufunga mzigo wa biashara wa kurudi nao mkoani baada ya siku 4 za kulijua jiji na kupunguza ushamba.
Hivyo rafiki mwenye nafasi.

(hasa "Ke" ambao kimsingi ni wakarimu na wema) ni_pm ili tuone namna ya kupanga utaratibu tafadhali!
Nawahakikishia
Sitowaangusha wakuu.

Angalizo:
Mimi ni kijana wenu mwema kabisa.
[emoji121][emoji121][emoji121][emoji121]
Uko mtwara wewe... Ngoja makonda akusikie[emoji23] [emoji23]
 
Vp mlimani City na Coco beach hujapenda kutembezwa?
 
Back
Top Bottom