Natokea kanda ya kati ila nipo Kusini kwa sasa sioni tofauti kila kitu nachotaka kipo

Natokea kanda ya kati ila nipo Kusini kwa sasa sioni tofauti kila kitu nachotaka kipo

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Ok. Historia yangu Kwa ufupi sana nimezaliwa sgd kukua sgd na shule halafu then dar miaka karibu Sita halafu kituo cha kazi kusini. Sasa kumekuwepo mada nyingi za kupapondea kusini.

Kipi hakipo kusini? Je, ni azam tv? Je ni hanson choice? Je ni safari lager au castle je ni chips je ni hali ya hewa je ni samaki au kitu gani maana kama ni k huku ndo ziko lwaa lwaa ndio maana nahoji kipi ambacho hakipo kusini kwenu kipo nambie ambacho kwenu kipo na huku maeneo yetu mazuri hakipo.
 
Huwa ni makelele ya wale washamba wa nyanda za juu na nyanda za juu kusini na vimiji vyao vya mchongo
Ukiishi Dar hata hauoni tofauti ukienda mikoa yote ya maeneo ya bahari
 
Ok. Historia yangu Kwa ufupi sana nimezaliwa sgd kukua sgd na shule halafu then dar miaka karibu Sita halafu kituo cha kazi kusini.. Sasa kumekuwepo mada nyingi za kupapondea kusini.

Kipi hakipo kusini? Je, ni azam tv? Je ni hanson choice? Je ni safari lager au castle je ni chips je ni hali ya hewa je ni samaki au kitu gani maana kama ni k huku ndo ziko lwaa lwaa ndo maana nahoji kipi ambacho hakipo kusini kwenu kipo nambie ambacho kwenu kipo na huku maeneo yetu mazuri hakipo.
Ila tuseme ukweli sigida ni pakavu kwelili kuna ule upepo wa mwezi sijui wa nane ni lazima upauke ngozi inakua kama imemwagiwa maji ya chumvu, kwako kusini lazima upaone pazuri ukilinganisha na sigida uliko kulia.......
 
Ukianzia Singida pale mbacho, rwezaula, Serengeti,kilima unaokutana nao nitofauti na pwani,hakuna sehemu TZ hii ikaizidi pwani hasa ukizingatia uumbaji WA Mungu na ukitaka kujua Mungu fundi ,pwani wamependelewa
 
Kusini kuchele. Nimetoka Lindi juzi nime enjoy sana.. ntarudi tena next week Insha'allah nitaenda hadi Mtwara
 
WAnataka Magorofa
Pia pawe na madanguro
Muonekano kama Mbweni sijui Oysterbay
 
izi nazi zoote unazozijua zinalimwa uko pwani.

hakuna sehem yenye watoto wa kike wenye sifa izi apo zaidi ya pwani

shavu laini
nyonga laini
ma.taco laini

aliskika mtu mmoja
 
Usiumize kichwa vimiji vyote vya Tanzania vinafanafana tu ,vyote uchafu tu.Ukitoa Dar na Mwanza.
Nsongezea vya Aftica. Angalia picha za Niger, Senegal, Kenya nk.
Africa ni mabanda mabanda tu taliopakana.
Hakuna maua, wala mpangilio wa barabara.
 
  • Nzuri
Reactions: EEX
izi nazi zoote unazozijua zinalimwa uko pwani.

hakuna sehem yenye watoto wa kike wenye sifa izi apo zaidi ya pwani

shavu laini
nyonga laini
ma.taco laini

aliskika mtu mmoja
Kweli mkuu aisee nipo Njombe mademu wa huku wamekomaa bora hata ya wasukuma.
Singida Dom kunasemwa vibaya ila wanawake wa huko ni laini kuliko huku kwenye viazi mviringo, sijui shida ni nini !
 
Kweli mkuu aisee nipo Njombe mademu wa huku wamekomaa bora hata ya wasukuma.
Singida Dom kunasemwa vibaya ila wanawake wa huko ni laini kuliko huku kwenye viazi mviringo, sijui shida ni nini !
up0 sahihi kwa ugumu wa makalio w-asu.ku.m.a ni vinara duniani
 
Ok. Historia yangu Kwa ufupi sana nimezaliwa sgd kukua sgd na shule halafu then dar miaka karibu Sita halafu kituo cha kazi kusini. Sasa kumekuwepo mada nyingi za kupapondea kusini.

Kipi hakipo kusini? Je, ni azam tv? Je ni hanson choice? Je ni safari lager au castle je ni chips je ni hali ya hewa je ni samaki au kitu gani maana kama ni k huku ndo ziko lwaa lwaa ndio maana nahoji kipi ambacho hakipo kusini kwenu kipo nambie ambacho kwenu kipo na huku maeneo yetu mazuri hakipo.
Hakuna mtukuru,kindi na mbojo.Kititimo wanakusabahi.Wanauliza unarudi lini mle ladu na mapama?
 
Back
Top Bottom