ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Ila tuseme ukweli sigida ni pakavu kwelili kuna ule upepo wa mwezi sijui wa nane ni lazima upauke ngozi inakua kama imemwagiwa maji ya chumvu, kwako kusini lazima upaone pazuri ukilinganisha na sigida uliko kulia.......Ok. Historia yangu Kwa ufupi sana nimezaliwa sgd kukua sgd na shule halafu then dar miaka karibu Sita halafu kituo cha kazi kusini.. Sasa kumekuwepo mada nyingi za kupapondea kusini.
Kipi hakipo kusini? Je, ni azam tv? Je ni hanson choice? Je ni safari lager au castle je ni chips je ni hali ya hewa je ni samaki au kitu gani maana kama ni k huku ndo ziko lwaa lwaa ndo maana nahoji kipi ambacho hakipo kusini kwenu kipo nambie ambacho kwenu kipo na huku maeneo yetu mazuri hakipo.
mkuu toa na tarimeUsiumize kichwa vimiji vyote vya Tanzania vinafanafana tu ,vyote uchafu tu.Ukitoa Dar na Mwanza.
We umezinguaKusini kuchele. Nimetoka Lindi juzi nime enjoy sana.. ntarudi tena next week Insha'allah nitaenda hadi Mtwara
Nsongezea vya Aftica. Angalia picha za Niger, Senegal, Kenya nk.Usiumize kichwa vimiji vyote vya Tanzania vinafanafana tu ,vyote uchafu tu.Ukitoa Dar na Mwanza.
Kweli mkuu aisee nipo Njombe mademu wa huku wamekomaa bora hata ya wasukuma.izi nazi zoote unazozijua zinalimwa uko pwani.
hakuna sehem yenye watoto wa kike wenye sifa izi apo zaidi ya pwani
shavu laini
nyonga laini
ma.taco laini
aliskika mtu mmoja
up0 sahihi kwa ugumu wa makalio w-asu.ku.m.a ni vinara dunianiKweli mkuu aisee nipo Njombe mademu wa huku wamekomaa bora hata ya wasukuma.
Singida Dom kunasemwa vibaya ila wanawake wa huko ni laini kuliko huku kwenye viazi mviringo, sijui shida ni nini !
Hakuna mtukuru,kindi na mbojo.Kititimo wanakusabahi.Wanauliza unarudi lini mle ladu na mapama?Ok. Historia yangu Kwa ufupi sana nimezaliwa sgd kukua sgd na shule halafu then dar miaka karibu Sita halafu kituo cha kazi kusini. Sasa kumekuwepo mada nyingi za kupapondea kusini.
Kipi hakipo kusini? Je, ni azam tv? Je ni hanson choice? Je ni safari lager au castle je ni chips je ni hali ya hewa je ni samaki au kitu gani maana kama ni k huku ndo ziko lwaa lwaa ndio maana nahoji kipi ambacho hakipo kusini kwenu kipo nambie ambacho kwenu kipo na huku maeneo yetu mazuri hakipo.
Daisalama inaongoza kwa uchafu.Siyo kama huku kwetu Namanyere au Kintinku.Usiumize kichwa vimiji vyote vya Tanzania vinafanafana tu ,vyote uchafu tu.Ukitoa Dar na Mwanza.