Natokwa na maji ya kuteleza yenye rangi ya damu sehemu za siri

Coz bado hujatimiza 18 years nakushauri umuone dr hapa hujakidhi vigezo vya kupata huduma

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ok nakushauri baada ya siku 5, iyo hali isipoisha-uende hospital kwa vipimo. Acha kuvulia wanaume chupi hovyo hovyo. Umeanza mapema hivi na unaujasiri ukifika miaka 22 utakuaje? Take care sex sio fashion

Kavulia ovyo kavulia wangapi?
Nyie ndio mnashtukiaga tu watoto wenu wamezalia chooni hata mimba hukuiona.
 
Taifa limefika hapa lilipo sababu ya kukosa maarifa, saa zingine Kikwete anaonewa tu....
 
wewe uliopo humu na jamii yote ndio wazazi wa huyu binti,nilitazamia dada zetu akina FaizaFoxy na wengineo ndio wawa kwa kwanza kumsaidia kwa kushirikiana na madaktari hasilia waliopo humu
 
Last edited by a moderator:
mnashupalia mdogo wakati watu kibao mmezitoa mkiwa na miaka 12, 13
 
mnashupalia mdogo wakati watu kibao mmezitoa mkiwa na miaka 12, 13

Waambie ukweli. Hao
Jambo la msingi kwa mleta mada aende hospt. Akapimwe tatizo nini huenda jamaa alikua na mpini hivyo aligota nyavuni na kuzichana chana.
 
Inavyoonekana huyu pengine kafanya sex bila condom( muhusika atupe jibu) na kwa sababu hiyo huyo mwanaume alimmwagia sha.hawa, kama hakujisafisha vizuri siku ya tendo matokeo yake zinatoka zenyewe zikichanganyika na damu ya bikra!
 
Hayo mapenzi ulifanya kwenye ndoa au nje ya ndoa?
 
umri wake miaka 16 tu

Umri si tatizo kuna wasichana wana balehe wakiwa wadogo sana, miaka 16 ni mtu mzima huyo kwa mwanamke, najuwa wanaume bado wanakuwa wajinga wakiwa miaka 16.

Swali langu lilikuwa hivi; , jee "Hayo mapenzi ulifanya kwenye ndoa au nje ya ndoa?"
 
Alifanya kitandani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…