Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ulianzia kwenye ndoa?Kama hajaolewa hayo mambo yakikubwa anayataka ya nini? Anakimbilia wapi?? Amesikia zinaisha?? 16???????
Wewe ulianzia kwenye ndoa?
Unajishushia heshima, loh!
ok nakushauri baada ya siku 5, iyo hali isipoisha-uende hospital kwa vipimo. Acha kuvulia wanaume chupi hovyo hovyo. Umeanza mapema hivi na unaujasiri ukifika miaka 22 utakuaje? Take care sex sio fashion
Unajuaje kama nishaanza au bado??
wewe uliopo humu na jamii yote ndio wazazi wa huyu binti,nilitazamia dada zetu akina FaizaFoxy na wengineo ndio wawa kwa kwanza kumsaidia kwa kushirikiana na madaktari hasilia waliopo humuJamii yetu kuna mahali imeteleza, ona huyu binti Mdogo kaingizwa kwenye ngono bila ufahamu wowote, na hana hata mtu wa karibu wa kumsaidia kulingana na matokeo baada ya kufanya ngono kwa mara ya kwanza.
Kwa vyovyote wala hakutumia condom kwa ajili ya kujikinga, sasa anatafuta elimu ya kupapasa, ikiwa ni elimu ambayo alipaswa kuanza kuisaka kabla hajajiingiza kwenye vitendo vya ngono. Ana miaka 16 sasa na tayari yuko kwenye maisha ya ngono. Pole sana mtoto.
Ova
mnashupalia mdogo wakati watu kibao mmezitoa mkiwa na miaka 12, 13
Ulitumia kondom au kavukavu?
Hayo majimaji ni mazito au mepes
Naumba utatuzi ni siku ya tatu sasa tangu nifanye mapenzi kwa mara ya kwanza yaaan kutolewa bikra ila kuna vitu vya rangi ya damu vinavyoteleza vinatoka ukeni je ni kawaida kwa hii hali au sio kawaida, . Na kama sio kawaida je ni nini nifanye ili kuondokana na hii hali, .Asanteh
Hayo mapenzi ulifanya kwenye ndoa au nje ya ndoa?
Wewe ulianzia kwenye ndoa?
Unajishushia heshima, loh!
Kavulia ovyo kavulia wangapi?
Nyie ndio mnashtukiaga tu watoto wenu wamezalia chooni hata mimba hukuiona.
Unataka ligi?
Kashindane na Shy Land, nipishe mie.
Na sitakujibu lingine.
umri wake miaka 16 tu
Alifanya kitandani.Umri si tatizo kuna wasichana wana balehe wakiwa wadogo sana, miaka 16 ni mtu mzima huyo kwa mwanamke, najuwa wanaume bado wanakuwa wajinga wakiwa miaka 16.
Swali langu lilikuwa hivi; , jee "Hayo mapenzi ulifanya kwenye ndoa au nje ya ndoa?"
Ish.....