Umri si tatizo kuna wasichana wana balehe wakiwa wadogo sana, miaka 16 ni mtu mzima huyo kwa mwanamke, najuwa wanaume bado wanakuwa wajinga wakiwa miaka 16.
Swali langu lilikuwa hivi; , jee "Hayo mapenzi ulifanya kwenye ndoa au nje ya ndoa?"
unajua kusoma ??
umesoma sheria za jamiiforum ??
je umri gani wa kujiunga jamiiforum??
kesho uwahadithie wenzio
umri ni tatizo kuwahi kubalehe sio tatizo umri wake anatakiwa awe shule kama sio form four form three
unataka kutuletea taifa la wajinga hapa
hivi unaweza kumuachisha mwanao shule ili aolewe kwa kuwa kabalehe ?? eti ndio kapata akili ?
Mtoeni uyu mtoto yafaa sheria zizingatiwe
Si ameshakuambia yanatoka ukeni...........wewe ni jinsia gani
drake aliepigwa na pdidy????????
aibu utaona wewe
Sasa ndiyo umesema nini? nenda Zanzibar, kuna shria kabisa, wapo wanaosoma na wameolewa.
Hebu tuondolee upuuzi wako hapa.
Sasa nakuomba kamuulize mama'ko, alibalehe akiwa na miaka mingapi.
Miaka 16 naelekea 17
Mkiharibiwa vizazi na mihogo ya jang'ombe mankuja kusema "eti sijui nina matatizo gani"
wewe mtoto Drake utakuwa ulipigwa paipu ya uhakika na mdau kwa hiyo kitu bado kina vibrate kwa kupumulia mashine.
Nimeamua kulog out for two days
Huyu binti anahitaji msaada, badala watu wampe ushauri wa kumsaidia mnakuja na dhihaka, ni nini sasa? Mnakua kama watu msiojitambua.
Hivi nawaza kama unaenda kituo cha huduma unakutana na majibu ya ovyo kama haya unajisikiaje?
Ngono ameshafanya, iwe salama au si salama. Alichotakiwa ni kuambiwa kwa namna ya kuelimishwa, hivi umejaribu kuwaza upande wa pili? Kama ni mwanao anakuomba ushauri unamjibu hivi basi ndio unamtuma akashauriwe na makundi rika.
Hii inaonesha hatuna utamaduni wa kuongea na vijana wetu kuhusu elimu ya afya ya uzazi. Na hata wanapokua wamepotea njia hatuwapi msaada wa kuwarudisha mstarini. Tunaropoka kama wahuni wa stand.
Malezi ni jukumu la wote, yeye kafikiria mazingira salama na ya usiri kwa upande wake akakimbilia huku, huku anakutana na majibu ya ovyo, atakimbilia wapi tena?
Mnapoamua kumjibu mtu hasa ukizingatia umri wake jitahidi kuwa muungwana, jaribu kuvaa uhusika wake, hakuna aliyekamilika.
Hapa tunamsema tu ila hawa hawa waliomsema kuhusu umri na ndoa karibia wote walianza katika mazingira kama yake tu.
Nyinyi ndio wale wahudumu mnaosababisha mtu akipata tatizo aogope kwenda kituo cha afya kwa kuogopa mineno yenu, matokeo yake wanajitibia tiba zisizo sahihi.
Mkiharibiwa vizazi na mihogo ya jang'ombe mankuja kusema "eti sijui nina matatizo gani"
wewe mtoto Drake utakuwa ulipigwa paipu ya uhakika na mdau kwa hiyo kitu bado kina vibrate kwa kupumulia mashine.