Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
Hahaha naona umeenda straight kwenye solution, hujatia neno hta moja 😂 😂
Pole mwamba.Wakuu juzi nilicheza mechi ila nilisahau kununua ndomu aisee na leo nlikuwa na mpango baadae ila nimetoa wakati wa kukojoa nimeona kama kuna chembe za usaha kwenye njia ya mkojo hii inaweza kuwa nini wakuu
Wapo sana, tuongoze umakini kidogo.Kijana,mnatoa wapi hao mabinti?
Hio tunaita Gono 101Wakuu juzi nilicheza mechi ila nilisahau kununua ndomu aisee na leo nlikuwa na mpango baadae ila nimetoa wakati wa kukojoa nimeona kama kuna chembe za usaha kwenye njia ya mkojo hii inaweza kuwa nini wakuu
PressureWakuu juzi nilicheza mechi ila nilisahau kununua ndomu aisee na leo nlikuwa na mpango baadae ila nimetoa wakati wa kukojoa nimeona kama kuna chembe za usaha kwenye njia ya mkojo hii inaweza kuwa nini wakuu
Dah 🤣🤣🤣 nimecheka kama mazuri
Mgeni uyoHio tunaita Gono 101
Ngoja nikupe dozi kabisa.
Piga azuma af sindikizia na frajil.
Vipumzisheni vingine ni vishabiki vya Makolokolo na Arse8 visije kujinyonga bure 2023 [emoji1732][emoji847]Hivi vitoto vya 2000
Vijana,Wanadumbukiza dumbukiza sehemu chafuWapo sana, tuongoze umakini kidogo.
Mjini kuna gono moja mbaya sana ina rotate
HUO NI UGONJWA WA KIFOWakuu,
Juzi nilicheza mechi ila nilisahau kununua kondomu aisee na leo nlikuwa na mpango baadae ila nimetoa wakati wa kukojoa nimeona kama kuna chembe za usaha kwenye njia ya mkojo.
Hii inaweza kuwa nini wakuu?