Natokwa na usaha kwenye mkojo baada ya kufanya mapenzi. Inaweza kuwa dalili ya ugonjwa gani?

Natokwa na usaha kwenye mkojo baada ya kufanya mapenzi. Inaweza kuwa dalili ya ugonjwa gani?

Sehemu unayo kaa hakuna vituo vya afya au maduka ya dawa ???
 
Wakuu,

Juzi nilicheza mechi ila nilisahau kununua kondomu aisee na leo nlikuwa na mpango baadae ila nimetoa wakati wa kukojoa nimeona kama kuna chembe za usaha kwenye njia ya mkojo.

Hii inaweza kuwa nini wakuu?
you are finished, hapo gono limeshaanza kutafuna kizazi. umeshazaa?
 
Wewe ndio ume generalise!! Sasa kama 90% ya waliokwenye ndoa, bado wanaruka ruka nje, hiyo 10% ndio niwachukulie kama case study?


Mkuu kuoa ni moja ya njia ya kuushinda uzinzi Ila njia zipo nyingi

Hapa unapokuwa upo na uraibu wa ngono au unasumbuliwa na uzinzi unaangalia aina za therapy ambazo zitafaa.

Mfano unaweza kuacha uzinzi kupitia

@ Kuoa /kuolewa
@ Meditation
@ Fasting and parayers
@ to learn how to control ur sexual desire .

Mambo ni mengi sana
 
Hio tunaita Gono 101

Ngoja nikupe dozi kabisa.

Piga azuma af sindikizia na frajil.
Umenifurahisha. Katika masomo ya engineering au computer science ukiona 101 ujue ni basic au atua ya awali.
 
Umenifurahisha. Katika masomo ya engineering au computer science ukiona 101 ujue ni basic au atua ya awali.
Hahaa 101 inanikumbusha profesa wangu mmoja hv sitokuja kumsahau
 
Back
Top Bottom