Natokwa na usaha kwenye mkojo baada ya kufanya mapenzi. Inaweza kuwa dalili ya ugonjwa gani?

Natokwa na usaha kwenye mkojo baada ya kufanya mapenzi. Inaweza kuwa dalili ya ugonjwa gani?

Vijana wenzangu kinga ni muhimu, usipime kwa macho.
39734f4aab6c958ca72bfec3124b98f6.jpg
 
Wakuu,

Juzi nilicheza mechi ila nilisahau kununua kondomu aisee na leo nlikuwa na mpango baadae ila nimetoa wakati wa kukojoa nimeona kama kuna chembe za usaha kwenye njia ya mkojo.

Hii inaweza kuwa nini wakuu?
Ndugu nijuqvyo kama n kale kaugonkwa ketu usingekaa toka juzi nakuhakikishja hili...kale.kamdudu hakataniii yaan kanakupa majibu mapema

We pima sugaring pressure ..haya mengine kwa.muda ulioandika najiridhisha umesalimika na....ka........
 
Pole sana , nahisi umepata magonjwa ya zinaa.

Nenda hospital mapema na ukipona jiepushe na uzinzi ikiwezekana uoe Kama umeshindwa kuushinda uzinzi.
 
Ndugu nijuqvyo kama n kale kaugonkwa ketu usingekaa toka juzi nakuhakikishja hili...kale.kamdudu hakataniii yaan kanakupa majibu mapema

We pima sugaring pressure ..haya mengine kwa.muda ulioandika najiridhisha umesalimika na....ka........
Sugaring pressure ndio ugonjwa gani ndugu
 
Wakuu,

Juzi nilicheza mechi ila nilisahau kununua kondomu aisee na leo nlikuwa na mpango baadae ila nimetoa wakati wa kukojoa nimeona kama kuna chembe za usaha kwenye njia ya mkojo.

Hii inaweza kuwa nini wakuu?
Huyo demu ulimtoa wapi inaonekana ulichukua demu pale kilabuni manzese kwa wahaya ukaenda kupiga peku pole sana sindano tano za nguvu zinakuhusu
 
Usijipime kwa walioshindwa jipime kwa walioweza na waliofanikiwa Ila walioshindwa wachukilie case study
Wewe ndio ume generalise!! Sasa kama 90% ya waliokwenye ndoa, bado wanaruka ruka nje, hiyo 10% ndio niwachukulie kama case study?
 
Back
Top Bottom