Natokwa na usaha sehemu za siri!

Nafanya na demu wangu permanent akinitaiti lakin with condom kila mara tangu nilipogundua nina tatizo. Kwahyo hata yeye sijamuambukiza.
 
Je huyo mwenzio nae hali yake ikoje au huwasiliani nae na ilikuwaje mtengane mda wote huo alaf haraka akubali kukupa papuchi yake?
 
Nafanya na demu wangu permanent akinitaiti lakin with condom kila mara tangu nilipogundua nina tatizo. Kwahyo hata yeye sijamuambukiza.

Ahsante kwa mrejesho, yeye ameshapima hana tatizo lolote?
 
Na huyo alokuambukiza yeye ana hali gani kwa sasa?hiyo ni gono bila kupepesa macho wala kumung'unya maneno.
 
Fanya jitihada ukifanya mchezo unaweza kuwa mgumba baadae
 
dawa zilizoonyesha kuua hao wadudu kupitia majibu ya culture and sensitivity kwa kawaida huwa haziwezi kudunda. Tafuta dawa halisi kwa dozi halisi, usikate tama utapona. vinginevyo pengine sio bakteria ni Virusi - ambao hawaponi kwa anti-biotics. Ngoja wataalamu waendelee kutiririka.
 
Ahsante kwa mrejesho, yeye ameshapima hana tatizo lolote?
Wakati nachepuka hakuwepo so nilipogundua tatzo nikaavoid kusex nae bila kinga kwahyo kwa vyovyote sijamwambukiza na akijua patachimbika.
 
Na huyo alokuambukiza yeye ana hali gani kwa sasa?hiyo ni gono bila kupepesa macho wala kumung'unya maneno.
Nae anaumwa sema baada kumwambia ananikwepa coz nina hasira nae and nahangaika nipone simuhitaji tena maana siku nyingine ataniua kabisa.
 
usawa huu hutumii kinga loh

Yameshatokea Flora, michambo akishapona. By the way, hongera wewe unayekaa na kinga kila dakika na popote ulipo. Gorgeusmimi msaada tafadhali
 
Last edited by a moderator:
gorgeousmimi daktari mashuhuri uliwai kuwa na uzi wako ukatisaidia sana tunakuomba tena hapa
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hii ni Gono. Dawa ulizotaja hapo zinatumika kutibu tatizo kwa kusaidiwa na sindano. dawa moja pekee haiwezi tibu maana wadudu wameshakuwa sugu kwa hizo dawa.

Jaribu Cipro 500mg. Kidoge kimoja asubuhi na kimoja jioni kwa siku 5.

au kama mwili wako una.nguvu, cipro 500mg, vidonge viwili mara moja kwa siku moja.

Angalizo: Hakikisha unakula vizuri na kushiba
 

Sure! Pia apige hapo jwenye sindano kwa siku tano au saba kulingana na level ya ugonjwa(ila zile sindano zinahitaji uvumilivu wa hali ya juu sindano inachomwa kwa muda wa dakika tatu mpaka nne hadi dawa iishe)



UKIFUATA USHAURI HUU HAUTA JUTA. KILA LAKHERI KUMBUKA KULA VIZURI KAMA UTATUMIA NJIA HII
 
Umesomeka kwa nguvu ya 5
 
duh pole
ndo maana nimegoma kulamba koni hovyo hovyo wengne wanaingiza kwenye vinyesi na mambo kama hayo
 
Mmm hivyo vipimo kuonyesha kuwa una UTI nna mashaka sana kawaida UTI huwezi kutokwa na usaa hiyo itakuwa ni gono tumia doz pamoja na sindano utapona tu lkn pole sn
 
Duh.pole sana bro.Hiyo ni shida ila usisahau kufanya tiba na mwenzi wako hata Doxy pia ni nzuri.Jaribu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…