- Thread starter
- #21
Nafanya na demu wangu permanent akinitaiti lakin with condom kila mara tangu nilipogundua nina tatizo. Kwahyo hata yeye sijamuambukiza.Wakati tunasuburia wataalam waje kutoa majibu, tangu ulipopata hilo tatizo unaendelea kufanya tendo la ndoa? Kama jibu ni ndio, unafanya na mtu mmoja au wengi na hao hali zao zikoje? Usije kua unajitibu wewe kumbe mwenzio/wenzio wana hali mbaya na kila unapoenda unaongezea matatizo mkuu.