Natokwa na usaha sehemu za siri!

Cipro,doxy au ethromycin ni suluhu ya ilo tatizo bt next time kumbuka ndom,angekua na ngoma ndo ilikua unakufa ivo,ila kauli hii aimaanish kama hana,wait for 3 month then go for h.i.v test
 

Izo sindano ndo dawa vidonge hawez pona kamwe
 


Mkuu hizo in dalili za kisonono nenda hospitali inayoeleweka upate matibabu haraka vinginevyo itaoza machine hiyo
 
mkuu hizo ni dalili za kisonono kafanye vipimo hospitali inayoeleweka
 
hahahaha mkuu unagema?? nenda wakakudunge sindano ya mbwa.hakikisha unapokwenda uwe umeshiba vya kutosha.ukifanya masihara utaanza kutoka mafunza kabisa pole sana aisee ila ni aibu kubwa
 
hahahaha mkuu unagema?? nenda wakakudunge sindano ya mbwa.hakikisha unapokwenda uwe umeshiba vya kutosha.ukifanya masihara utaanza kutoka mafunza kabisa pole sana aisee ila ni aibu kubwa

Kama umeamua comment!! Sijapendezwa na hiki ulichoandikaa! Jitambue hekima ni vema ukaitumia
 
Gono hilo.Katibiwe fasta la sivyo njia ya mkojo itakuja kuziba tu huko mbeleni.
Pima na kaswende na VVU kwa sababu umo katika hatari ya kuwa na magonjwa ya zinaa.
 
aiseee..kuna clip flani hivi ya video inazunguka kwenye magroup ya whattsApp mtu anakamua wadudu kwenye mashine.....dalili huwa zinaanzaga hivo ivo
 

Nicheki pm kijana
 
hivyo vipimo vilionyesha uti ni kutoka maabara za vichochoroni,hiko ni kitu cha GONORRHEA aka shitinka
 
Nimejikuta tu nacheka lakini sio lengo langu am very sorry... Hebu tuache kuendekeza ngono zisizo na msingi yan hamjaonana miaka 3 halafu mnabanjuana bila kinga?? Like r u guyz serious kabisa kabisa??. Next time utatoka na ngoma ndio mtajua ni nini faida ya kujiheshimu....mxyuuu halafu unatoka hapo unaenda kubanjuka na kidemu chako...ukimwi katu hautaisha pulizzzz spare my time...😕
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…