The Intelligent
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 2,459
- 824
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sitafanya kosa kama hilo tena mkuu.
Sure! Pia apige hapo jwenye sindano kwa siku tano au saba kulingana na level ya ugonjwa(ila zile sindano zinahitaji uvumilivu wa hali ya juu sindano inachomwa kwa muda wa dakika tatu mpaka nne hadi dawa iishe)
UKIFUATA USHAURI HUU HAUTA JUTA. KILA LAKHERI KUMBUKA KULA VIZURI KAMA UTATUMIA NJIA HII
Poleni na Majukumu.
Miezi 2 iliyopita nilikutana kimwili na demu wangu wa siku nyingi ambaye tulikuwa hatujaonana takribani miaka 3. Hatukutumia kinga. Baada ya wiki 1 nikaanza kutokwa usaha sehemu za siri. NIlipoenda kupima nkaambiwa nina U.T.I na nikapewa Norfloxin. Nilimaliza dozi lakini tatizo liliendelea.
Nikabadilishiwa dawa na kupewa Augumentin lakini nayo iligonga mwamba. Nkapewa Flumox lakini kila nilipopima wadudu walionekana kupungua lakini hawakuisha mwilini.
Daktari akanishauri nikapime Urine for culture and sensitivity ambapo niliambiwa siumwi magonjwa ya zinaa. Majibu yaliandikwa "yielded a heavy growth of longue storplycoca" na kushauriwa kuwa nitumie dawa mojawapo kati ya Chloramphenicol, Gentamicyin au Tetracycline ntapoina lakini mpaka sasa nimeshatumikia dawa mbili kati ya hizo lakini bado natokwa na majimaji yanayoteleza na yenye harufu mbaya.
Naombeni msaada hawa ni wadudu gani sugu kiasi hiki? Kama kuna ambae amewahi kuumwa kama mimi ulipona kwa dawa gani?
Nisaidieni mwenzenu maana kuna wakati hao wadudu wakichachamaa nasikia maumivu makali sana ya uume.
Yeyote anayewafahamu hawa wadudu nisaidieni the way to overcome this.
Natanguliza shukrani zangu.
Huyo alichanganya D1 na D2 bila kwanza kunawa na sabuni. Jinsi ya kumaliza tatizo hilo soma Levofloxacin in the treatment of complicated urinary tract infections and acute pyelonephritisKapime damu, huenda ukawa na sphilis
hahahaha mkuu unagema?? nenda wakakudunge sindano ya mbwa.hakikisha unapokwenda uwe umeshiba vya kutosha.ukifanya masihara utaanza kutoka mafunza kabisa pole sana aisee ila ni aibu kubwa