Natongozwa na mpangaji mwenzangu

Unaelekea kukubali wito

Acha kujibu msg zake na call akikuita tena kwa mazungumzo usiende. Ongea na mkeo kuhusu swala hilo maana anaweza kukuzushia jambo baya ambalo hujalifanya ukashindwa kueleweka
 
Jibu ni moja tu jambo km hilo mshirikishr mkeo, kama unaona ni kikwazo kwako kabsaaa ni vyema mshirikishe atakusaidia sn kuepukana na hiyo kero
Jamani kwa mwanaume au yeyote aliyepitia jambo hili anisaidie
WATU WALIOKUWA WANAMWEKA MJINI CHANNEL ZAO ZIMEKATWA NA MAGU, SASA ANATENGENEZA LINK NYINGI ILI AKIKWAMA MUMSAIDIE, LEO UTAMUONA HANA SHIDA HATA GUEST ANAWEZA KULIPA YEYE LKN ANAJUA ZITARUDI TU.
Amshirikishe mke wampige chini huyu mama, huyu mama kimeo, either anataka umzalishe, akupe gonjwa, akuvurugie ndoa, kaathrika, ana ugonjwa wa kiakili...n.k. Huyu dada janga kaka, mblock kabisa namba yake, ukiona yazidi ripoti polisi, anaweza kukufanya hata mabaya huyu..hii kama ni kweli, usijekuwa unatupiga fix tu kaka...
 
Mkuu, you are a man. Be a man. Kwanza usithubutu kumwambia mkeo, manake moto utakaowashwa hapo kitasambaa kitaa kizima. Tatizo lako unasema humpendi lakini akikuita unaenda ! UNAMTIA moyo. Kama humpendi usijibu sms, usipokee simu yake wale usiende kwenye hayo mavikao vyake. Atajiona mjinga atachoka na ataacha. Ila kama tayari umeshalemewa na vishawishi vyake ni bora ukahama kwanza ndo umgegede vizuri ili kupunguza risk ya ndoa yako manake mapenzi hayajifichi.
 
POINT, HAPASWI KABISA KUMSHIRIKISHA MKE, NA HATA MWANAMKE UPATAPO AU KUKUTANA NA VITU KAMA HIVI SI VIZURI KUMSHIRIKISHA MWENZIO MAANA WENGINE HUPOKEA TOFAUTI, USHAHIDI NI MIMI MWENYEWE, Kuna rafiki wa mpenzi wangu alitaka nikamgegede, tena aliniita kwake nikamrekebishie TV yake, kweli nikaenda but kumbe haikuwa TV alitaka nikarekebishe papuchi, basi nikagoma na nikampa mkanda mpenzi wangu, aise, moto uliwaka, uliwaka na suluhisho nikaona tutemane tu
 
Nipe number yake.
 
Mpe namba ya mke wako ndo dawa kabisa hiyo kaka hutosumbuliwa tena halafu usje ukalogwa ukatembea na huyo dada sio mzur kuwa na ww anatka ahalibu ndoa yako kwa vyovyote vile iwe kwa dawa au vingne pia,usishangae ajashindwa kwako akaanza kuharibu kwa mkeo ili muachane hivyo ni vyema ukampa no: mke wako na umueleze kabisa,fanya hivyo kama unaipenda ndoa yako, huyo dada hakupend hata kidogo isipo kuwa anaona wivu vile ww unavyomfanyia mkeo,kuwa makin sana hapo ikibid uhame na ubadilishe namba.
 
Kuna vitu ambavyo majibu yake wala hayahitaji tafakari au psychology. Solution ya zinaa kwa mujibu wa vitabu vitakatifu ni kuikimbia tu! Wala huhitaji maombi au ushauri, vaa Raba beba Mali zako, Kimbia, nenda mbali aisee usigeuke nyuma kabisa, kula kona bro
 
Nina wasiwasi mkubwa sana na Uanaume wako mkuu
 
Reactions: SDG
Hivi wanaume wa hivyo wapo jamani? Weee unafaa kuwekwa kwenye makumbusho ya taiga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…