Natongozwa na mpangaji mwenzangu

Natongozwa na mpangaji mwenzangu

subiri kugeuziwa kibao kwa mkeo kuwa huwa unamsumbua huyo dada hivyo ameamua kukusemea kwa mkeo
 
Huyu si bure atakuwa na yake,kwanini? akupende mara tu ulipomleta Mkeo,mwambie kwa kukusaidia ngoja nikutafutie Mtu akupooze kama ndiyo unahitaji,akileta zake zip hamia kwingine,ni dhahiri ukitembea naye atakuvunjia ndoa,maana ataanza kumzodoa Mkeo na kumsema kimafumbo
 
Jibu ni moja tu jambo km hilo mshirikishr mkeo, kama unaona ni kikwazo kwako kabsaaa ni vyema mshirikishe atakusaidia sn kuepukana na hiyo kero
aiseee hapo unatengeneza bomu la hatariiiii
 
jitahidi kushinda majaribu nimependa msimamo wako,,mpende sana mkeo na heshimu ndoa yako.
 
Papuchi inapo jileta mbele ya sheikh kipozeo unategemea nini hapo...?

Ili kumkomoa huyo Malaya unachitakiwa ni kuhama hiyo nyumba
 
Ili tudhibitishe huo mkasa wako kama ni kweli basi iweke hiyo No. Ya huyo Mpangaji mwenzio ili wadau tumpe makavu live.
Nazani hatudhubutu kukulea shida tena.
 
Jamani kwa mwanaume au yeyote aliyepitia jambo hili anisaidie jinsi ya kuliepuka. Suala lenyewe lipo hivi mimi nimeoa na ni miaka kama miwili hivi toka nioe, maisha yangu ya ndoa ninayafurahia kwasababu nilimpata mwanamke wa ndoto zangu yaani sijutii kuishi naye ingawa safari bado ni ndefu hivyo ni mapema kujihakikishia. Jambo linalonisumbua ni kuna mpangaji mwenzangu ambaye ni mdada flani hivi anamtoto mmoja na anakazi yake na kipindi nahamia pale nilimkuta.

Ni Dada ambaye alinionyeshea mashauzi sana kipindi napanga kwenye ile nyumba kitu ambacho kilipelekea kutokuwa na mazoea naye zaidi ya salamu tu basi. Kwa kipindi chote hicho cha takribani miaka miwili na zaidi sikubahatika kuomba namba yake ya mawasiliano na wala yeye hakuniomba mpaka hivi karibuni akawa ameniomba namba nikampa.

Siku moja baada ya kuniomba namba akanipigia akidai kwanini sijamjibu SMS yake wakati hakukuwa na SMS yoyote aliyonitumia, mimi nikamwabia sijaipata labda imefail kwahiyo nitumie tena ili niione akaniambia poa.

Akaanza na SMS ya kwanza samahani kama nitakukwaza, then akatuma SMS ya pili akisema, mimi ni binadamu, ninahisia, ninahitaji hivyo tafadhali naomba utimize haja ya moyo wangu kwani nimeteseka kwa miaka yote hiyo sijawahi kukwambia lakini uzalendo umenishinda, please don't let me down. Nikamrudishia, samahani kama nitakukwaza ila kiukweli sitaweza kufanya hilo unalohitaji.

Akaniambia, hivi unahisi nitajiskiaje mimi kama mwanamke kukuelezea hisia zangu then unanijibu hivyo, vipi nikikuona nitakuonaje na utanionaje, najua unamke wako lakini lengo langu si kuharibu ndoa yako, na nitaendelea kuitunza ile heshima tuliyokuwa nayo tangu awali. Nikamwambia kuwa mimi si mtu namna hiyo, imani yangu na maadili niliyolelewa hayaruhusu kitu hicho unachotaka kutoka kwangu, lakini pia naheshimu sana kiapo cha ndoa yangu.

Siku inayofuata akanitext kuwa anaomba nionane naye face to face, nikaona hiyo ndio itakuwa njia ya kumweleza ukweli kuwa anachofikiria hakitawezekana, kweli tukakutana akaniambia mambo mengi sana kuwa alinipenda toka siku ya kwanza kuniona, amevumilia sana kwa mda mrefu kwahiyo anaomba nimwelewe kwani itakuwa siri yetu, akasema ikibidi basi nimpe hata japo kwa siku moja tu yeye ataridhika.

Kiukweli nikamwambia anachopaswa kufanya ni kumwomba mungu amsaidie ili ampate mume kwani mimi ni mume wa mtu na siwezi kusaliti ndoa yangu then nikamuacha. Jana akanitext kuwa anaomba anione tena, nikaenda kumsikiliza akasema usiku wa Leo nimelala kwa raha sana kwani nilipoongea nawe nilifarijika na nilipofika nyumbani chupi yangu ilikuwa imeloa kabisa ingawa, naomba uniingizie japo kakichwa tu basi sitakusumbua tena.

Akasema kuna pafyumu ya wanaume nimekununulia hivyo nilikuita ili uje nikupe. Nikamwambia nashukuru kwa zawadi lakini samahai zawadi hiyo sitaipokea na usirudie kuingia gharama tena kwasababu unajiingiza hasara bure. Kwa kweli alionyesha kusikitika sana, lakini kuhusu ile pafyumu mimi niliingiwa na woga kwani nikahisi huenda akawa ameifanyizia madawa ili nikiitumia lengo lake lifanikiwe.

Basi nikaikataa na akalaumu kuwa nimekataa kumtimizia haja yake hata pafyumu ambayo ni zawadi tu naikataa! Basi mimi nikamwambia analolifikiria juu yangu hatafanikiwa hivyo asijisumbue. Lakini cha ajabu ameendelea kuwa kero kwangu kila Mara ananitumia SMS, ananipigia ingawa sipokei call zake, sasa sijui nitumie mbinu gani ili huyu Dada aachane na huo mpango wake wa kutaka kuninasa.
Endelea na msimamo huo huo... shetan atakimbia mwenyewe!!! Zidisha maombi kwani huo ni mtihani mkubwa wa kiiman na uaminifu ktk ndoa
 
Moja kati ya watu watakaopata kivuli cha mwenyezimungu siku ya hukumu ni mwanaume aliyeitwa na mwanamke kwa tendo la zinaa akakataa kwa kuogopa kutenda dhambi.

Mi hata cha kukushauri sina....we mwanaume bwana.
 
Mkuu huyu Baba ameitikia Wito wa Vikao vya vya huyo mama zaidi ya Mara Mbili bila kumwambia mke wake huu usumbufu sasa akimshirikisha sasa hivi unajua moto wake?

Hivi unawasikia wanawake au Unawajua?
Hata ningekuwa mimi umeitwa bila kuniambia huo mziki wake lazima kinuke naye kwanini alienda au alijua wanaenda imba pambio huko au anapenda aache mambo ya kitoto hiyo namba wekwa black list baki hata akiitwa asiende akionja tu imekula kwake yaani ukiwa na mme au mke wenzio hawana ni mtihani kweli ila ukiwa na misimamo ya akili maisha yanaenda tu.
 
Moja kati ya watu watakaopata kivuli cha mwenyezimungu siku ya hukumu ni mwanaume aliyeitwa na mwanamke kwa tendo la zinaa akakataa kwa kuogopa kutenda dhambi.

Mi hata cha kukushauri sina....we mwanaume bwana.
Walio wengi wakiitwa tu lazima aende ila wanawake kama hamtaki mtu hawezi hata kunusa yaani mwanamke anakwambia nipo free leo tuonane jitu midevu mwili mzima linaenda bila hata kuwaza labda huzani mapambio
 
Jamani kwa mwanaume au yeyote aliyepitia jambo hili anisaidie jinsi ya kuliepuka. Suala lenyewe lipo hivi mimi nimeoa na ni miaka kama miwili hivi toka nioe, maisha yangu ya ndoa ninayafurahia kwasababu nilimpata mwanamke wa ndoto zangu yaani sijutii kuishi naye ingawa safari bado ni ndefu hivyo ni mapema kujihakikishia. Jambo linalonisumbua ni kuna mpangaji mwenzangu ambaye ni mdada flani hivi anamtoto mmoja na anakazi yake na kipindi nahamia pale nilimkuta.

Ni Dada ambaye alinionyeshea mashauzi sana kipindi napanga kwenye ile nyumba kitu ambacho kilipelekea kutokuwa na mazoea naye zaidi ya salamu tu basi. Kwa kipindi chote hicho cha takribani miaka miwili na zaidi sikubahatika kuomba namba yake ya mawasiliano na wala yeye hakuniomba mpaka hivi karibuni akawa ameniomba namba nikampa.

Siku moja baada ya kuniomba namba akanipigia akidai kwanini sijamjibu SMS yake wakati hakukuwa na SMS yoyote aliyonitumia, mimi nikamwabia sijaipata labda imefail kwahiyo nitumie tena ili niione akaniambia poa.

Akaanza na SMS ya kwanza samahani kama nitakukwaza, then akatuma SMS ya pili akisema, mimi ni binadamu, ninahisia, ninahitaji hivyo tafadhali naomba utimize haja ya moyo wangu kwani nimeteseka kwa miaka yote hiyo sijawahi kukwambia lakini uzalendo umenishinda, please don't let me down. Nikamrudishia, samahani kama nitakukwaza ila kiukweli sitaweza kufanya hilo unalohitaji.

Akaniambia, hivi unahisi nitajiskiaje mimi kama mwanamke kukuelezea hisia zangu then unanijibu hivyo, vipi nikikuona nitakuonaje na utanionaje, najua unamke wako lakini lengo langu si kuharibu ndoa yako, na nitaendelea kuitunza ile heshima tuliyokuwa nayo tangu awali. Nikamwambia kuwa mimi si mtu namna hiyo, imani yangu na maadili niliyolelewa hayaruhusu kitu hicho unachotaka kutoka kwangu, lakini pia naheshimu sana kiapo cha ndoa yangu.

Siku inayofuata akanitext kuwa anaomba nionane naye face to face, nikaona hiyo ndio itakuwa njia ya kumweleza ukweli kuwa anachofikiria hakitawezekana, kweli tukakutana akaniambia mambo mengi sana kuwa alinipenda toka siku ya kwanza kuniona, amevumilia sana kwa mda mrefu kwahiyo anaomba nimwelewe kwani itakuwa siri yetu, akasema ikibidi basi nimpe hata japo kwa siku moja tu yeye ataridhika.

Kiukweli nikamwambia anachopaswa kufanya ni kumwomba mungu amsaidie ili ampate mume kwani mimi ni mume wa mtu na siwezi kusaliti ndoa yangu then nikamuacha. Jana akanitext kuwa anaomba anione tena, nikaenda kumsikiliza akasema usiku wa Leo nimelala kwa raha sana kwani nilipoongea nawe nilifarijika na nilipofika nyumbani chupi yangu ilikuwa imeloa kabisa ingawa, naomba uniingizie japo kakichwa tu basi sitakusumbua tena.

Akasema kuna pafyumu ya wanaume nimekununulia hivyo nilikuita ili uje nikupe. Nikamwambia nashukuru kwa zawadi lakini samahai zawadi hiyo sitaipokea na usirudie kuingia gharama tena kwasababu unajiingiza hasara bure. Kwa kweli alionyesha kusikitika sana, lakini kuhusu ile pafyumu mimi niliingiwa na woga kwani nikahisi huenda akawa ameifanyizia madawa ili nikiitumia lengo lake lifanikiwe.

Basi nikaikataa na akalaumu kuwa nimekataa kumtimizia haja yake hata pafyumu ambayo ni zawadi tu naikataa! Basi mimi nikamwambia analolifikiria juu yangu hatafanikiwa hivyo asijisumbue. Lakini cha ajabu ameendelea kuwa kero kwangu kila Mara ananitumia SMS, ananipigia ingawa sipokei call zake, sasa sijui nitumie mbinu gani ili huyu Dada aachane na huo mpango wake wa kutaka kuninasa.

Wanaume twapenda tu kujishaua kijinga. Mwanamke hawezi kukutaka akawa usumbufu kama ujamchekea. Naturally wameumbwa hivyo.
 
mblock,muignore atachoka....
ila inaonekana na wewe ni staki nataka
 
Dah wanaume wengind wanakosa hzi chance afiu wana ambulia PUNYETO.....wewe leo unakuja humu kuleta hizoo dah wewe ni KILAZA CRITICAL LEVEL @100% aseeeeee hata kama dude lijali lililo oa na kupata watoto 4 haliwezii acha dagaa kama huyu aende maana yupo available..........
 
Punyeto huendekezwa na watu (kina dada/wanaume dhaifu). Hakuna mwanamke asiyependa kufanya ngono inatakiwa tu kujuwa namna ya kumu approach na kumpa somo. Nyege dawa yake ni kupeana na raha ya dunia utaiona.
 
Back
Top Bottom