Natongozwa na mpangaji mwenzangu

Wewe ni mwanaume. Mpe last warning. Then block namba zake.

Kuwa serious, onyesha msimamo.
Ukimchekea chekea atakuingiza matatizoni.
 
Hivi kwanini miti inapatikana sehemu ambako hakuna wajenzi?
 
Watu kama nyie ni muhimu sana,mkuu nimependa sana ushauri wako hata mm yamenikuta hayo na soln ni hyo nilihama yakaisha
 
Daah, hongera sana kwa kumshinda shetani mpaka sasa hivi. Ikiwezekana hama kabisa usiwe karibu naye.
Ila niwe mkweli, kama ningekua mimi nadhani shetani angeshinda siku ile ile tu ya kwanza[emoji85][emoji85]
 
Wala hakuma haja ya kuumiza kichwa
Mwambie muoname sehemu , myaarifu mkeo kila kitu kabla hajakuta hizo sm
Then akija sehemu amkute mkeo alafukaribishe vizuru mwambie
"Lile ombi lako tulijadili leo hapahapa mke wangu akiwepo"
Haya anza kujieleZa
Hakika atahama nyumba kesho yake
Kwishney
Usimwendeleze kahaba kwenye ndoa yako
She has nothing to loose
 
Ohooo! Delilah kakutana na Samsoni. Kinachofuata ni Sam kutobolewa macho... Kaka huyo mtoto naomba um divert kwangu asikuharibie ndoa yako bure... Mimi nitafanya kwa niaba yako, ila sambi zote utabeba wewe! 😀😀
Mbeba lawani
 
Install TrueCaller itakusaidia kublock simu na sms zake.

Anaweza akabadili namba, usiogope kupokea simu ngeni hata akiwepo mkeo, pokea, ukibaini ni yeye, mjibu kuwa wewe sio bwana Hu Ji Tao itakuwa amekosea namba. Kata simu, block na hiyo. Endelea kubadili majina kadiri anavyobadili namba.

Endelea kumuonyesha ukauzu mbele ya mkeo au hata asipokuwepo. Hapa nazungumia akikuonyesha hayo mashauzi unapotezea.

Mkipu bize kwa kugawa namba yake kwa washkaji wakware ambao watamsumbua ili upumzike na mkeo. Wadau wengi wamejitokeza hapo juu wakiomba Sub, wafuate inbox uwape namba.

Usihame wala Kumwambia mkeo, hiyo ni changamoto ndogo sana, inahitaji usimamizi makini tu.

Kingine, kama uzalendo ukikushinda, nakus...*Some text are missing
 
Mshirikishe mkeo ubavu wako mashauriane jinsi ya Kufanya. Na kitu kizuri uonapo dalili za shetani kukufutalia wee mwaibishe mapema usimchee atakuangamiza na kukusababishia Jambo baya alafu ataanza kukucheka.
 
Mhh...bila shaka hyo ni hadithi mkuu..
Hv huyo awe mrembo....ungeruka kwl?MPIGE MZIZI mkuu....au mwanamke mwenyewe ni kama wale waokota chupa za PLASTIC barabarani?
 
Jibu ni moja tu jambo km hilo mshirikishr mkeo, kama unaona ni kikwazo kwako kabsaaa ni vyema mshirikishe atakusaidia sn kuepukana na hiyo kero
Hapo ndo mwanzo wa matatizo, sishauri kabisa aanze kumshirikisha mkewe jambo kama hilo..

Mnamatatizo mengi sana nyie mkishirikishwaga, hebu cheki wewe unavonisumbua kisa, nilikuambia kuhusu yule msichana wa Supermarket...
 
Ukishindwa kuhama ..basi gonga mzigo maisha yaendeleeeee
 
Ndiyo maana Manabii walioa wake wengi nyie mnabania tutabanana tu.
kwa hiyo jamaa ale zigo ee, huwaga najiuliza takwim zinaonesha wanawake ni wengi na tukioa mke mojamoja wengine ndo kama hao,
 
Kama upo serious humtaki mshirikishe mkeo. Otherwise utaingia kwenye himaya yake soon.
 
Nyinyi ni majirani haina maana kunyimana. Mpe akuombalo. Maana mpaka unalileta hilo jambo hapa mtandaoni ina maana upo njia panda. Ungekuwa humtaki wala usingelileta hapa ungekuwa na big NO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…