Natongozwa na mpangaji mwenzangu

Natongozwa na mpangaji mwenzangu

Huu mtego umekaa pabaya sana, nitumie namba yake, nitakupa mrejesho.
 
Mkuu awa;li ya Yote pole na Nakupa hongera sana kwa Ujasiri ulioufanya hasa kwa kuwa Mkweli na Muwazi na hata kudhirisha kuwa wewe Una Muheshimu Mke wako.

Awali ya yote hiyo imekuwa Mbinu Kuu siku hizi ya wadada au wanawake kujitongozesha na unapokataa huja na Gia hiyo ya kusema Mimi nitaonekanaje kama Mwanamke kukwambia hisia yangu kwako halafu unanikatalia. Wanaume wengi huanguka sana Wakisikia Kauli hiyo. Huingiwa na Huruma na mwisho wa siku Huingia huo Mtego na Mwishowe hufanya lile tendo kwa kisingizo kuwa ni Siri.... Mimi ni Mhanga wa Kutongozwa tena Sana na hizo ndiyo zimekuwa kauli zao....

Mkuu kwenye Hiyo Mbinu kwa huyo Mpangaji wako Kuna Yafuatayo ambayo unatakiwa Kuyaangalia.

  • Kwa haraka Haraka Unaweza hisi kuwa Mke wako Anakujaribu Uaminifu wako Kupitia Changamoto hiyo ya huyo Mpangaji,.. Hii Itategemeana na mazoea waliyo nayo.
  • Au, Mke wako hana mahusiano Mazuri na Huyo Mpangaji sasa anataka kumuonyesha kuwa anaweza Kumchukua Mume wake na baada ya kufanikisha utaone Kitakacho Tokea.
  • Au Huyo Mpangaji amejiona mjinga kama uliishi Pale kabla ya Kuoa na umekuja Kuoa mwanamke mwingine ilihali yeye yupo Pale na ana Vigezo Vyote.
  • Au Kweli alikukuwa anakuhitaji ila hukuonyesha initiative ya kumuapproach hivyo ameamua kuwa mkweli na inaweza kuwa ndivyo ilivyo.
Mkuu nina Imani kuwa katika hayo hapo Juu huyo Mpangaji wako ataangukia kwenye mojawapo.

Suluhisho,

  1. Usimwambie Mke wako Lolote linaoendelea na Usithubutu hata Siku Moja na Pindi Ukifanya hivyo Basi tarajia Ndoa yako Kuingiwa na Mgogoro Mkubwa kwa sabab umeitikia vikao zaidi ya Viwili bila kumhusisha Mkeo, sasa Ukimhusisha sasa hivi itakuletea matatizo Makubwa.
  2. Tafuta Nyumba Nyingine na Uhame hapo Mara Moja kama haupo Tayari kutimiza Matakwa ya huyo Mpangaji.
Ngoja niishie hapo kwanza nitarudi baadae
Chukua ushauri huu, hakika hutojutia
 
Majirani wa kike taabu sana huku uswahilini........

3.jpg

Mm wa aina hii huwa siwacheleweshi! Nashukuru kwa kweli nimejaliwa moyo wa huruma sana!!
 
Mkuu awa;li ya Yote pole na Nakupa hongera sana kwa Ujasiri ulioufanya hasa kwa kuwa Mkweli na Muwazi na hata kudhirisha kuwa wewe Una Muheshimu Mke wako.

Awali ya yote hiyo imekuwa Mbinu Kuu siku hizi ya wadada au wanawake kujitongozesha na unapokataa huja na Gia hiyo ya kusema Mimi nitaonekanaje kama Mwanamke kukwambia hisia yangu kwako halafu unanikatalia. Wanaume wengi huanguka sana Wakisikia Kauli hiyo. Huingiwa na Huruma na mwisho wa siku Huingia huo Mtego na Mwishowe hufanya lile tendo kwa kisingizo kuwa ni Siri.... Mimi ni Mhanga wa Kutongozwa tena Sana na hizo ndiyo zimekuwa kauli zao....

Mkuu kwenye Hiyo Mbinu kwa huyo Mpangaji wako Kuna Yafuatayo ambayo unatakiwa Kuyaangalia.

  • Kwa haraka Haraka Unaweza hisi kuwa Mke wako Anakujaribu Uaminifu wako Kupitia Changamoto hiyo ya huyo Mpangaji,.. Hii Itategemeana na mazoea waliyo nayo.
  • Au, Mke wako hana mahusiano Mazuri na Huyo Mpangaji sasa anataka kumuonyesha kuwa anaweza Kumchukua Mume wake na baada ya kufanikisha utaone Kitakacho Tokea.
  • Au Huyo Mpangaji amejiona mjinga kama uliishi Pale kabla ya Kuoa na umekuja Kuoa mwanamke mwingine ilihali yeye yupo Pale na ana Vigezo Vyote.
  • Au Kweli alikukuwa anakuhitaji ila hukuonyesha initiative ya kumuapproach hivyo ameamua kuwa mkweli na inaweza kuwa ndivyo ilivyo.
Mkuu nina Imani kuwa katika hayo hapo Juu huyo Mpangaji wako ataangukia kwenye mojawapo.

Suluhisho,

  1. Usimwambie Mke wako Lolote linaoendelea na Usithubutu hata Siku Moja na Pindi Ukifanya hivyo Basi tarajia Ndoa yako Kuingiwa na Mgogoro Mkubwa kwa sabab umeitikia vikao zaidi ya Viwili bila kumhusisha Mkeo, sasa Ukimhusisha sasa hivi itakuletea matatizo Makubwa.
  2. Tafuta Nyumba Nyingine na Uhame hapo Mara Moja kama haupo Tayari kutimiza Matakwa ya huyo Mpangaji.
Ngoja niishie hapo kwanza nitarudi baadae
Duuu! Mungu aendelee kukuongezea busara, ushauri wako umefumbua ubongo Wangu. Ni kweli kuna ugomvi ulitokea kati yake na mke wangu mwanzoni mwa ndoa yangu lakini saizi wanaelewana kupita kiasi.
 
Mwanaume kujifanya mlokole
Wakat n myahud mkubwaaa
Huo n uduanz
 
Jamani kwa mwanaume au yeyote aliyepitia jambo hili anisaidie jinsi ya kuliepuka. Suala lenyewe lipo hivi mimi nimeoa na ni miaka kama miwili hivi toka nioe, maisha yangu ya ndoa ninayafurahia kwasababu nilimpata mwanamke wa ndoto zangu yaani sijutii kuishi naye ingawa safari bado ni ndefu hivyo ni mapema kujihakikishia. Jambo linalonisumbua ni kuna mpangaji mwenzangu ambaye ni mdada flani hivi anamtoto mmoja na anakazi yake na kipindi nahamia pale nilimkuta.

Ni Dada ambaye alinionyeshea mashauzi sana kipindi napanga kwenye ile nyumba kitu ambacho kilipelekea kutokuwa na mazoea naye zaidi ya salamu tu basi. Kwa kipindi chote hicho cha takribani miaka miwili na zaidi sikubahatika kuomba namba yake ya mawasiliano na wala yeye hakuniomba mpaka hivi karibuni akawa ameniomba namba nikampa.

Siku moja baada ya kuniomba namba akanipigia akidai kwanini sijamjibu SMS yake wakati hakukuwa na SMS yoyote aliyonitumia, mimi nikamwabia sijaipata labda imefail kwahiyo nitumie tena ili niione akaniambia poa.

Akaanza na SMS ya kwanza samahani kama nitakukwaza, then akatuma SMS ya pili akisema, mimi ni binadamu, ninahisia, ninahitaji hivyo tafadhali naomba utimize haja ya moyo wangu kwani nimeteseka kwa miaka yote hiyo sijawahi kukwambia lakini uzalendo umenishinda, please don't let me down. Nikamrudishia, samahani kama nitakukwaza ila kiukweli sitaweza kufanya hilo unalohitaji.

Akaniambia, hivi unahisi nitajiskiaje mimi kama mwanamke kukuelezea hisia zangu then unanijibu hivyo, vipi nikikuona nitakuonaje na utanionaje, najua unamke wako lakini lengo langu si kuharibu ndoa yako, na nitaendelea kuitunza ile heshima tuliyokuwa nayo tangu awali. Nikamwambia kuwa mimi si mtu namna hiyo, imani yangu na maadili niliyolelewa hayaruhusu kitu hicho unachotaka kutoka kwangu, lakini pia naheshimu sana kiapo cha ndoa yangu.

Siku inayofuata akanitext kuwa anaomba nionane naye face to face, nikaona hiyo ndio itakuwa njia ya kumweleza ukweli kuwa anachofikiria hakitawezekana, kweli tukakutana akaniambia mambo mengi sana kuwa alinipenda toka siku ya kwanza kuniona, amevumilia sana kwa mda mrefu kwahiyo anaomba nimwelewe kwani itakuwa siri yetu, akasema ikibidi basi nimpe hata japo kwa siku moja tu yeye ataridhika.

Kiukweli nikamwambia anachopaswa kufanya ni kumwomba mungu amsaidie ili ampate mume kwani mimi ni mume wa mtu na siwezi kusaliti ndoa yangu then nikamuacha. Jana akanitext kuwa anaomba anione tena, nikaenda kumsikiliza akasema usiku wa Leo nimelala kwa raha sana kwani nilipoongea nawe nilifarijika na nilipofika nyumbani chupi yangu ilikuwa imeloa kabisa ingawa, naomba uniingizie japo kakichwa tu basi sitakusumbua tena.

Akasema kuna pafyumu ya wanaume nimekununulia hivyo nilikuita ili uje nikupe. Nikamwambia nashukuru kwa zawadi lakini samahai zawadi hiyo sitaipokea na usirudie kuingia gharama tena kwasababu unajiingiza hasara bure. Kwa kweli alionyesha kusikitika sana, lakini kuhusu ile pafyumu mimi niliingiwa na woga kwani nikahisi huenda akawa ameifanyizia madawa ili nikiitumia lengo lake lifanikiwe.

Basi nikaikataa na akalaumu kuwa nimekataa kumtimizia haja yake hata pafyumu ambayo ni zawadi tu naikataa! Basi mimi nikamwambia analolifikiria juu yangu hatafanikiwa hivyo asijisumbue. Lakini cha ajabu ameendelea kuwa kero kwangu kila Mara ananitumia SMS, ananipigia ingawa sipokei call zake, sasa sijui nitumie mbinu gani ili huyu Dada aachane na huo mpango wake wa kutaka kuninasa.
Acha ulofa wewe.

Mwanamke humtaki alafu unamchekeachekea hivo.

Huo muda unaenda kupiga nae stori vichichoroni unaupata wapi kama sio unafiki? Mpaka hapo mnapoongelea huko vichochoroni tayari ushamsariti mkeo manana huwa humwambii. Fikiria kama mkeo anakukuta huko vichochoroni ama wewe umkute mkeo amebananishwa na njemba vichichironi.

Mwambie aje apige stori nyumbani kwako na mkeo akiwapo.

Wewe sema unamtaka ila inamwogooa mkeo.

Mwanaume humtaki mwanamke afu akusumbue? Landa uwe mwanaume suruali.
 
WATU WALIOKUWA WANAMWEKA MJINI CHANNEL ZAO ZIMEKATWA NA MAGU, SASA ANATENGENEZA LINK NYINGI ILI AKIKWAMA MUMSAIDIE, LEO UTAMUONA HANA SHIDA HATA GUEST ANAWEZA KULIPA YEYE LKN ANAJUA ZITARUDI TU.
Thanks
 
Kuhama nyumba siyo kusolve tatizo, kusolve tatizo ni msimamo wako tu. Utahama nyumba ngapi? Maana hata huko utakakoenda utakutana na wengine.
 
We ni mwanaume wa wapi???....yani mwanamke anakusumbua kiasi hicho
 
Kwanza nakupongeza kwa msimamo wako kama ni kweli unavyosema.Ushauri wangu mweleze mke wako ishu yote toka mwanzo hadi sasa na umwambie mkeo asimfanye jambo lolote walakumwonyesha dalili yoyote, endapo ataendele kukufatilia na kukupigia simu ili ili uende sehemu alipo mwambie unakuja kisha mwambie mke wako mwende naye hapo alipo,ukifika umuulize alichokuitia ukiwa na mkeo,na hapo ndio itakuwa mwisho wa kukufatilia.
Mnampongeza huyu jamaa kwa lipi?

Mwanamke humtaki afu unampatia mawasiliano yako kwa lipi?
 
Hapo kwenye red: ni nyumbani au chumbani? Nyumbani maanake hamuishi pamoja. Labda kama nyumba imetenganishwa. Story ya kweli hii?

Kwa nini hauishi na mkeo? Mwambie mkeo juu ya changamoto hiyo halafu ampe warning. Au Karibisha wadada hata kwa kuwalipa ili aonekane hafai.
Tunaishi nyumba moja ila vyumba tofauti. Naomba uamini kuwa hii sio story ya kutungwa bali ni ya ukweli.
 
Jamani kwa mwanaume au yeyote aliyepitia jambo hili anisaidie jinsi ya kuliepuka. Suala lenyewe lipo hivi mimi nimeoa na ni miaka kama miwili hivi toka nioe, maisha yangu ya ndoa ninayafurahia kwasababu nilimpata mwanamke wa ndoto zangu yaani sijutii kuishi naye ingawa safari bado ni ndefu hivyo ni mapema kujihakikishia. Jambo linalonisumbua ni kuna mpangaji mwenzangu ambaye ni mdada flani hivi anamtoto mmoja na anakazi yake na kipindi nahamia pale nilimkuta.

Ni Dada ambaye alinionyeshea mashauzi sana kipindi napanga kwenye ile nyumba kitu ambacho kilipelekea kutokuwa na mazoea naye zaidi ya salamu tu basi. Kwa kipindi chote hicho cha takribani miaka miwili na zaidi sikubahatika kuomba namba yake ya mawasiliano na wala yeye hakuniomba mpaka hivi karibuni akawa ameniomba namba nikampa.

Siku moja baada ya kuniomba namba akanipigia akidai kwanini sijamjibu SMS yake wakati hakukuwa na SMS yoyote aliyonitumia, mimi nikamwabia sijaipata labda imefail kwahiyo nitumie tena ili niione akaniambia poa.

Akaanza na SMS ya kwanza samahani kama nitakukwaza, then akatuma SMS ya pili akisema, mimi ni binadamu, ninahisia, ninahitaji hivyo tafadhali naomba utimize haja ya moyo wangu kwani nimeteseka kwa miaka yote hiyo sijawahi kukwambia lakini uzalendo umenishinda, please don't let me down. Nikamrudishia, samahani kama nitakukwaza ila kiukweli sitaweza kufanya hilo unalohitaji.

Akaniambia, hivi unahisi nitajiskiaje mimi kama mwanamke kukuelezea hisia zangu then unanijibu hivyo, vipi nikikuona nitakuonaje na utanionaje, najua unamke wako lakini lengo langu si kuharibu ndoa yako, na nitaendelea kuitunza ile heshima tuliyokuwa nayo tangu awali. Nikamwambia kuwa mimi si mtu namna hiyo, imani yangu na maadili niliyolelewa hayaruhusu kitu hicho unachotaka kutoka kwangu, lakini pia naheshimu sana kiapo cha ndoa yangu.

Siku inayofuata akanitext kuwa anaomba nionane naye face to face, nikaona hiyo ndio itakuwa njia ya kumweleza ukweli kuwa anachofikiria hakitawezekana, kweli tukakutana akaniambia mambo mengi sana kuwa alinipenda toka siku ya kwanza kuniona, amevumilia sana kwa mda mrefu kwahiyo anaomba nimwelewe kwani itakuwa siri yetu, akasema ikibidi basi nimpe hata japo kwa siku moja tu yeye ataridhika.

Kiukweli nikamwambia anachopaswa kufanya ni kumwomba mungu amsaidie ili ampate mume kwani mimi ni mume wa mtu na siwezi kusaliti ndoa yangu then nikamuacha. Jana akanitext kuwa anaomba anione tena, nikaenda kumsikiliza akasema usiku wa Leo nimelala kwa raha sana kwani nilipoongea nawe nilifarijika na nilipofika nyumbani chupi yangu ilikuwa imeloa kabisa ingawa, naomba uniingizie japo kakichwa tu basi sitakusumbua tena.

Akasema kuna pafyumu ya wanaume nimekununulia hivyo nilikuita ili uje nikupe. Nikamwambia nashukuru kwa zawadi lakini samahai zawadi hiyo sitaipokea na usirudie kuingia gharama tena kwasababu unajiingiza hasara bure. Kwa kweli alionyesha kusikitika sana, lakini kuhusu ile pafyumu mimi niliingiwa na woga kwani nikahisi huenda akawa ameifanyizia madawa ili nikiitumia lengo lake lifanikiwe.

Basi nikaikataa na akalaumu kuwa nimekataa kumtimizia haja yake hata pafyumu ambayo ni zawadi tu naikataa! Basi mimi nikamwambia analolifikiria juu yangu hatafanikiwa hivyo asijisumbue. Lakini cha ajabu ameendelea kuwa kero kwangu kila Mara ananitumia SMS, ananipigia ingawa sipokei call zake, sasa sijui nitumie mbinu gani ili huyu Dada aachane na huo mpango wake wa kutaka kuninasa.
Dah dunia imebadilika kweli koma hivyo hivyo tu japo mie jingempa japo kichwa tu [emoji2] [emoji2]
 
Mimi nina wasiwasi umeshaanza kulegea... Kama hujalainika na hutaki mwambie mkeo.
 
Back
Top Bottom