Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh abadilishe number kwa ajili ya mtaka dushe tu?, mimi hakuna ninachoheshimu number yangu ya simu, maana ni kila kitu kwanguKama umepanga si uhame tu. Badilisha namba na mwambie mkeo. Naziona dalili za Shetani kuanza kukulainisha.
Hahaaa unampa pole ya nini wakati anambania mwenzie hitaji la msingi?Masikini pole sana
Mkuu awa;li ya Yote pole na Nakupa hongera sana kwa Ujasiri ulioufanya hasa kwa kuwa Mkweli na Muwazi na hata kudhirisha kuwa wewe Una Muheshimu Mke wako.
Awali ya yote hiyo imekuwa Mbinu Kuu siku hizi ya wadada au wanawake kujitongozesha na unapokataa huja na Gia hiyo ya kusema Mimi nitaonekanaje kama Mwanamke kukwambia hisia yangu kwako halafu unanikatalia. Wanaume wengi huanguka sana Wakisikia Kauli hiyo. Huingiwa na Huruma na mwisho wa siku Huingia huo Mtego na Mwishowe hufanya lile tendo kwa kisingizo kuwa ni Siri.... Mimi ni Mhanga wa Kutongozwa tena Sana na hizo ndiyo zimekuwa kauli zao....
Mkuu kwenye Hiyo Mbinu kwa huyo Mpangaji wako Kuna Yafuatayo ambayo unatakiwa Kuyaangalia.
Mkuu nina Imani kuwa katika hayo hapo Juu huyo Mpangaji wako ataangukia kwenye mojawapo.
- Kwa haraka Haraka Unaweza hisi kuwa Mke wako Anakujaribu Uaminifu wako Kupitia Changamoto hiyo ya huyo Mpangaji,.. Hii Itategemeana na mazoea waliyo nayo.
- Au, Mke wako hana mahusiano Mazuri na Huyo Mpangaji sasa anataka kumuonyesha kuwa anaweza Kumchukua Mume wake na baada ya kufanikisha utaone Kitakacho Tokea.
- Au Huyo Mpangaji amejiona mjinga kama uliishi Pale kabla ya Kuoa na umekuja Kuoa mwanamke mwingine ilihali yeye yupo Pale na ana Vigezo Vyote.
- Au Kweli alikukuwa anakuhitaji ila hukuonyesha initiative ya kumuapproach hivyo ameamua kuwa mkweli na inaweza kuwa ndivyo ilivyo.
Suluhisho,
Ngoja niishie hapo kwanza nitarudi baadae
- Usimwambie Mke wako Lolote linaoendelea na Usithubutu hata Siku Moja na Pindi Ukifanya hivyo Basi tarajia Ndoa yako Kuingiwa na Mgogoro Mkubwa kwa sabab umeitikia vikao zaidi ya Viwili bila kumhusisha Mkeo, sasa Ukimhusisha sasa hivi itakuletea matatizo Makubwa.
- Tafuta Nyumba Nyingine na Uhame hapo Mara Moja kama haupo Tayari kutimiza Matakwa ya huyo Mpangaji.
Ahsante, lakini kukutana naye na kumsikiliza kumenisaidia kujua kuwa ni kweli kadhamiria maana mara ya kwanza nilijua just ni utaniAcha ulofa wewe.
Mwanamke humtaki alafu unamchekeachekea hivo.
Huo muda unaenda kupiga nae stori vichichoroni unaupata wapi kama sio unafiki? Mpaka hapo mnapoongelea huko vichochoroni tayari ushamsariti mkeo manana huwa humwambii. Fikiria kama mkeo anakukuta huko vichochoroni ama wewe umkute mkeo amebananishwa na njemba vichichironi.
Mwambie aje apige stori nyumbani kwako na mkeo akiwapo.
Wewe sema unamtaka ila inamwogooa mkeo.
Mwanaume humtaki mwanamke afu akusumbue? Landa uwe mwanaume suruali.
Majirani wa kike taabu sana huku uswahilini........
![]()
Huwezi kumwambia mkeo jambo ambalo hujajiridhisha kuwa kitatokea nini, labda kama hujaoa ila kama umeoa usingekuwa mwepesi wa kunishauri nimwambie wife punde tu jambo kutokea, ingawa nimempa worning kuwa akiendelea naweza kumwambia wife.Hebu acha blah blah
Unafurahia kubembelezwa na mtoto wa kike [emoji23] [emoji23] [emoji23] ( maana ni wanaume wachache wanaotangozwa)
Kama kweli humtaki ungemwambia mkeo.