Natongozwa sana na wadada Instagram

Amesema kaoa mke mrembo na anampenda sana. Mambo ya kadi yanatoka wapi tena?

Mkuu code za Jeiefu ni kama katuni za Masoud kipanya...

Kila mtu ataelewa kwa style yake... so hata wewe uko sahihi sana ulivoelewa...
 
Sikuhizi kutokana na utandawazi, wadada wengi wamekuwa wepesi kutongoza na kueleza hisia zao. Lile swala la mwanamke kuwa na haya au stara limepungua.
Pia wadada wanatafuta ndoa kwa udi na uvumba, huenda ujaweka wazi kuwa umeoa, hujawai mpost mkeo.
Sababu nyengine huenda unampost mkeo sana na jinsi unavyomspoil, wadada hatupendani, yani wapo ambao atatamani na yeye awe treated hivyo, sasa badala ya kutafuta wa kwake anakutaka wewe huyo huyo umdekeze na umpe raha kama unazompa mkeo.
Kama unapost unakula bata sana huenda wanakuona ni Don, kwaio akipata chance ya kuwa na wewe basi atafaidi mali zako
 
Tunajua ulitamani utongozwe na wanaume lakini wasagaji ndo wanakuotea[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Unatakaje mkuu?
 
HAHAHAHAHAHAHAHAHAHπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
yawezekana post zako zinastua watu wakaona wakufanye mradi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]afu we ukahisi unatongozwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…