Natongozwa sana na wadada Instagram

Mtoa mada usiukimbie Uzi wako Basi,

endelea kushusha vingereza vya ras Simba basi,

Au misamiati imekata bwasheee[emoji2]
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]mkuu mie nikiona umenijibu nafurahi maana najua nachambwa[emoji38][emoji38][emoji38]
Please grow up halafu muda wa kula huu naomba ule tafadhal
Hatari sana [emoji4][emoji4][emoji4]
 
Njoo tukutongoze na huku. Ila huku kiutuuzima sio mautoto ya Insta.

Unapiga show au bila bila?

Ni mrefu mweusi una body?

Au keupe kimbao mbao ka kujishkiza kwenye nguzo kukiwa na upepo mkali.
Duh!...
 
.................. Jingaz..............!
 
Post refu hivi hujaweka hata picha moja basi huu ni uwongo mtupu
WEKA PICHA TUONE SHIDA NI NINI
 
Acha uongo

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 

Niki wa pili kashamaliza ghorofa lake?
 
Uyu hatubishani naye, hapa tunamnyoosha atie adabu.

Siku nyingine asilete ujuaji mbuzi humu[emoji2]

Wapuuzi Kama mtoa mada ndo wanaoishushia heshima JF.

Kuna watu wa maana wameacha Kuna mmu kwasababu ya nyuz Kama hizi za kina mtoa mada

JamiiForums yetu imekua kama ya fesibuku ya Meta jaman chaaaaaa

Embu naomba umkomeshe atie adabu me sijapendezwa hata kidogo
 
Ushasema unashepu nzur ya kuvutia kuliko wadada wa humu jf,

Bila shaka na chura IPO ya KUTOSHA, ukipelekewa vizur Moto Lazima ujambe mayai viza upinde wa mvua wewe[emoji2]
I've got twelve inches. Want to test?
 
Unanitisha ndio kwanza nimefungua akaunti yangu huko juzi juzi tu. Anyway jambo la muhimu kwako ni kubanana na mkeo bampa to bampa. Hao wengine we waone kama Dada zako wazazi tu.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…