Natongozwa sana na wadada Instagram

Natongozwa sana na wadada Instagram

Bas mada imeisha
Sioni sababu ya kuendelea kubishana au nakosea mkuu?
Uyu hatubishani naye, hapa tunamnyoosha atie adabu.

Siku nyingine asilete ujuaji mbuzi humu[emoji2]

Wapuuzi Kama mtoa mada ndo wanaoishushia heshima JF.

Kuna watu wa maana wameacha Kuna mmu kwasababu ya nyuz Kama hizi za kina mtoa mada
 
What u want to test? My dipstick? I love scents and flavors. I enjoy a long French kiss after a session of 69. Karibu
Mchele mchele utawajua TU,

Kwaiyo wee jamaa Unaenjoy scents na flavor Kama hizi eeh[emoji2][emoji116]
IMG_20211213_102843.jpg
 
Uyu Mtoa mada mshamba tu,
kaishiwa hoja mjadala kauleta kwa kiswahili afu comments anajifanya kujibu kwa kingereza.

SI upuuzi Huu[emoji2]
Alitaka atongozww na wanaume insta sasa wamama wanamuwekea kiwingu.
 
Moja ya kitu ambacho nakutana nacho sana inbox kule Instagram ni message za wadada, wakiomba namba ya simu wengine salamu.

Huenda ni sababu ya aina ya maisha nayopost kule au sikui kunijua, nashindwa kuelewa.

Lakini wengi wanaonitongoza siwajui kabisa na wengine ukiangalia profile zao na picha walizowahi kupost ni wake za watu kabisa.
Wengi nakutaga wamenitumia namba zao niwatafute.

Hii huwa inaniletea sana mgogoro na wife maana hushika simu yangu na Kuna muda huitumia kuingia Insta.

Hali hii iliwahi kunikuta zamani kidogo nikipokua natumia sana pia Facebook, Ila kwa sasa nimeacha kutumia.

Sijawahi kukutana na hali hii Jamii Forums, pengine sababu natumia fake ID. Lakini sijawah kukutana na hiyo hali.

Na kusema ukweli sijawahi kukubali wala kukutana na yoyote aliyewahi kunitongoza Insta, japo kuna muda huwa nataka kumshindwa shetani maana wengine ni mabinti wazuri na warembo sana unakuta wameacha ujumbe na namba ya simu. Mtihani sana

Kwa wiki naweza kukutana na ujumbe inbox kama 6 za kupendwa na kuombwa namba za simu.

Mimi hulka yangu sio mtu sana wa skendo wala kupenda sana wanawake japo nimewahi kucheat Ila sio sana, nampenda sana mke wangu na namheshimu sana. Ni mzuri na mrembo sana.
Unalenga kusema nini shehe hatujakusoma bado
 
Alitaka atongozww na wanaume insta sasa wamama wanamuwekea kiwingu.
Wadada wa jf nao wamemtongoza eti anawakataa,

Mimi pia nmemtongoza kabisa,
na nikamuendea na kilainishi kabisa pm ila bado ananiletea maringo.

Sasa tumueleweje Sasa[emoji2]

HILI TANGAZO LAKE KALETA LA NINI HUKU[emoji848]
 
Ur cave smell could be acceptable but there is cases where it smells like rotten eggs
 
Moja ya kitu ambacho nakutana nacho sana inbox kule Instagram ni message za wadada, wakiomba namba ya simu wengine salamu.

Huenda ni sababu ya aina ya maisha nayopost kule au sikui kunijua, nashindwa kuelewa.

Lakini wengi wanaonitongoza siwajui kabisa na wengine ukiangalia profile zao na picha walizowahi kupost ni wake za watu kabisa.
Wengi nakutaga wamenitumia namba zao niwatafute.

Hii huwa inaniletea sana mgogoro na wife maana hushika simu yangu na Kuna muda huitumia kuingia Insta.

Hali hii iliwahi kunikuta zamani kidogo nikipokua natumia sana pia Facebook, Ila kwa sasa nimeacha kutumia.

Sijawahi kukutana na hali hii Jamii Forums, pengine sababu natumia fake ID. Lakini sijawah kukutana na hiyo hali.

Na kusema ukweli sijawahi kukubali wala kukutana na yoyote aliyewahi kunitongoza Insta, japo kuna muda huwa nataka kumshindwa shetani maana wengine ni mabinti wazuri na warembo sana unakuta wameacha ujumbe na namba ya simu. Mtihani sana

Kwa wiki naweza kukutana na ujumbe inbox kama 6 za kupendwa na kuombwa namba za simu.

Mimi hulka yangu sio mtu sana wa skendo wala kupenda sana wanawake japo nimewahi kucheat Ila sio sana, nampenda sana mke wangu na namheshimu sana. Ni mzuri na mrembo sana.
Em screenshot hizo namba ututumie hum Jf tuzishughulikie.
 
Back
Top Bottom