implicit memory
JF-Expert Member
- Nov 14, 2024
- 806
- 926
Kaa nao mbali,nao watakua mbali nawe,ukiwa karibu mharifu ni rahisi nawe kuwa mharifu.Leo nimeona nikae nitafakari kama Binti nikiwa mtulivu na ustaarabu ya juu maisha yangu
Nimekuja kugundua natongozwa sana na wakurya kwanzia kwenye social media ...mikoani.....chuoni...mtaani ..kila nikimuuliza mkaka kabila anasema mkurya
Hili tatizo litakuwa wapi? Kwani wakaka wa kabila lingine hamnioni tu (wasukuma .wazaramo ...wachaga ...nyakyusa ....wahaya mko wapi)?au nyie ndo mtakuja kunioa huko mbeleni nipoteze saizi muda na wakurya
Au nina taste za wakurya TU ndugu zangu!!!???
Nataka kubadilisha taste nyingine
Kwenye list ya wakaka nimedate nao ni wakurya tupu!
Wakurya mniache !!!!!