Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndege wafananaohuruka pamoja. Ruka naoLeo nimeona nikae nitafakari kama Binti nikiwa mtulivu na ustaarabu ya juu maisha yangu
Nimekuja kugundua natongozwa sana na wakurya kwanzia kwenye social media ...mikoani.....chuoni...mtaani ..kila nikimuuliza mkaka kabila anasema mkurya
Hili tatizo litakuwa wapi? Kwani wakaka wa kabila lingine hamnioni tu (wasukuma .wazaramo ...wachaga ...nyakyusa ....wahaya mko wapi)?au nyie ndo mtakuja kunioa huko mbeleni nipoteze saizi muda na wakurya
Au nina taste za wakurya TU ndugu zangu!!!???
Nataka kubadilisha taste nyingine
Kwenye list ya wakaka nimedate nao ni wakurya tupu!
Wakurya mniache !!!!!
Hahah😄😂😂😂,. Chukua huyu bintiHaha mzaramo kutoka Rombo 😀
Kaka wakisambaa 😄😂,. Em lete huyu binti nyumbaniKaka eeh 😅
Mimi Mpemba tena? alafu huyo Andazi unikutanishe nae mpemba mwenzangu, last huyo dada namjua ametoroka mirembe juzi chizi kama ibrapIcha iko wapi?, Video Ukitembea kugeuka nyuma ..
Niko na kaka zangu hapa mmoja mpemba Binadamu Mtakatifu Andazi , mwingine msambaa Half american na mwingine mzaramo Gily Gru
weka picha tuone uzuri wakoLeo nimeona nikae nitafakari kama Binti nikiwa mtulivu na ustaarabu ya juu maisha yangu
Nimekuja kugundua natongozwa sana na wakurya kwanzia kwenye social media ...mikoani.....chuoni...mtaani ..kila nikimuuliza mkaka kabila anasema mkurya
Hili tatizo litakuwa wapi? Kwani wakaka wa kabila lingine hamnioni tu (wasukuma .wazaramo ...wachaga ...nyakyusa ....wahaya mko wapi)?au nyie ndo mtakuja kunioa huko mbeleni nipoteze saizi muda na wakurya
Au nina taste za wakurya TU ndugu zangu!!!???
Nataka kubadilisha taste nyingine
Kwenye list ya wakaka nimedate nao ni wakurya tupu!
Wakurya mniache !!!!!
Huu mwandiko ni wakiumeLeo nimeona nikae nitafakari kama Binti nikiwa mtulivu na ustaarabu ya juu maisha yangu
Nimekuja kugundua natongozwa sana na wakurya kwanzia kwenye social media ...mikoani.....chuoni...mtaani ..kila nikimuuliza mkaka kabila anasema mkurya
Hili tatizo litakuwa wapi? Kwani wakaka wa kabila lingine hamnioni tu (wasukuma .wazaramo ...wachaga ...nyakyusa ....wahaya mko wapi)?au nyie ndo mtakuja kunioa huko mbeleni nipoteze saizi muda na wakurya
Au nina taste za wakurya TU ndugu zangu!!!???
Nataka kubadilisha taste nyingine
Kwenye list ya wakaka nimedate nao ni wakurya tupu!
Wakurya mniache !!!!!
Hutaki mdogo wako niwe padriiii?Dooh,.
Nikajua nishapata wifi hapa basi tena😓
Humu hamna wanaume
Shindwa pepo,. Wachana na hizo habariHutaki mdogo wako niwe padriiii?
Mh! Mkuu kuna kaukweli, ushawahi kuishi Simiyu?Unanuka mdomo, makwapa na papuchi? Si kama nakudharau, lahasha....wanaume wa Kanda ya Ziwa wanapenda sana wanawake wanaonuka hizo sehemu sijuwi kwanini.
Umaana wa mwanaume unapimwa kwa lipi,...'hamna mwanaume wa maana ukiwemo na wewe'...Umemaliza !!
Au unadhani najitongozesha humu
Nishasema humz hamna mwanaume wa maana ukiwemo na wewe wote wale wale
Duuh yamekua hayo tena, [emoji119][emoji119]Ivi wewe dada unakuaga na tatizo gani kwenye threads zangz