Natongozwa sana na wakaka wa Kikurya. Tatizo litakuwa wapi?

Natongozwa sana na wakaka wa Kikurya. Tatizo litakuwa wapi?

Janaume linajifanya eti jike.. haya ndio magasho yaliyopigwa pini na Trump
 
Leo nimeona nikae nitafakari kama Binti nikiwa mtulivu na ustaarabu ya juu maisha yangu

Nimekuja kugundua natongozwa sana na wakurya kwanzia kwenye social media ...mikoani.....chuoni...mtaani ..kila nikimuuliza mkaka kabila anasema mkurya

Hili tatizo litakuwa wapi? Kwani wakaka wa kabila lingine hamnioni tu (wasukuma .wazaramo ...wachaga ...nyakyusa ....wahaya mko wapi)?au nyie ndo mtakuja kunioa huko mbeleni nipoteze saizi muda na wakurya

Au nina taste za wakurya TU ndugu zangu!!!???
Nataka kubadilisha taste nyingine
Kwenye list ya wakaka nimedate nao ni wakurya tupu!
Wakurya mniache !!!!!
Acha umalaya mwanangu utazolewa na miwaya ufe bado mbichi bure
 
Hapana si yangu wala sina na sihitaji. We gawa, uza, fungia kwenye pupi, safisha, acha chafu. ni yako tu. Fanya utakavyo hata ukiwagawia mbwa na kuku. Ila kumbuka.. Ukikwaa miwaya utanikumbuka mwanangu.
Nikukumbuke kwa kipi wewe😂
 
Back
Top Bottom