Natongozwa sana na wakaka wa Kikurya. Tatizo litakuwa wapi?

Natongozwa sana na wakaka wa Kikurya. Tatizo litakuwa wapi?

Leo nimeona nikae nitafakari kama Binti nikiwa mtulivu na ustaarabu ya juu maisha yangu

Nimekuja kugundua natongozwa sana na wakurya kwanzia kwenye social media ...mikoani.....chuoni...mtaani ..kila nikimuuliza mkaka kabila anasema mkurya

Hili tatizo litakuwa wapi? Kwani wakaka wa kabila lingine hamnioni tu (wasukuma .wazaramo ...wachaga ...nyakyusa ....wahaya mko wapi)?au nyie ndo mtakuja kunioa huko mbeleni nipoteze saizi muda na wakurya

Au nina taste za wakurya TU ndugu zangu!!!???
Nataka kubadilisha taste nyingine
Kwenye list ya wakaka nimedate nao ni wakurya tupu!
Wakurya mniache !!!!!
Labda umekeketwa mkuu
 
Back
Top Bottom